Kisima_Nzuki_Official Video_2022

preview_player
Показать описание
#Kisima_Nzuki#Dir_Migera#MTC_TANZANIA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Great song, and creative, hello sukuma Land mwanza, shinyanga simiyu geita na tabora mikono juu tuko vizuri sana

luhendesoloshija
Автор

Heeee minha África linda e espetacular. Povo africano cheio de humildade, simplicidade, aliados com talentos do bem e patrocinadores de alegrias sem frescuras e ostentações. A Tanzânia é uma das nações orgulho do gigante continente África. Sou do Brasil, mas fascinado pela minha África.

antoniocarlosoliveira
Автор

Hongera sanaa bro unapendwaaa sana na wa2🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢🎉🎉🎉

EliusDeus-nd
Автор

Mie sio msukuma ila nyimbo za asili nazipenda sana japo sizielewi ila zinanikosha kwakweli love much from Singida 💯 ❤❤❤❤

zayumar
Автор

Kisima majabala, mm nipo dar es salaam nazisikilza nyimbo zako, wazalamo wananiuliza maan ya huu wimbo nawaelewesha, piga Kaz msanii unaejua kupangilia mistar saf San 👍👍👍
Hakuna wimbo wa asili uliofika views 3.9M hii imevunja recod mm nitaendelea kuiangalia kila siku ili ifike 4M views nitafurahi sana kisima

jumastephano
Автор

I am visit Rwanda kisima song is better wanderfuul in Africa's misic❤🎉🎉🎉❤

SamwelLameck-rvfd
Автор

Give credit where it belongs....from Kenya only from our on soil our motherland Africa big salute friend..

kenethtirop
Автор

Kaka nimetoka Dar sijawahi kanyaga Mwanza Ila toka nimekuja huku huyu jamaa anabalaa sielewi kinachoimbwa ila ngoma zina mzuka sana hizi 😅😅😂

neemaebeneza
Автор

Leo tarehe 06 - 09 - 2024 nasikiliza Nzuki nipo Geita, namkubali sana KISIMA ni mbunifu sana anawazidi wasanii wenzake wa kisukuma... Content inaendana na matukio na setting ❤🫶

jacobomakoye
Автор

Mungu akifanyie wepesi ktk kazi zako.pesa sina ningekuita hapa dar uje utoe show mlimani city

JohnSitta-xt
Автор

Mimi ni kalenjin lkni wimbo imwesa good work Boss, high level of dancing,

gideonkiprotich
Автор

Nipo Congo Lubumbashi kikazi, natokea Kakola kahama, Leo 27/10/2024 nimekuja kusikiliza tena🙌🙌

Yusudav
Автор

Napenda Sana kisukuma nanyimbo zake ingawa mm c msukuma

HamisiShekhematipu
Автор

Hii Ngoma imevunja rekodi. Hakuna Ngoma ya kisukuma iliyowai fikisha views 4.8 milioni. Great job kisima

Gasperzalabax
Автор

Njoo na mkoa wa kigoma wilayani kasulu hakika huta jutia hayo maokoto itakayo pata 👏👏😃😀

MwigaKatumpula-mizt
Автор

mapenda sana nyimbo za huyu kaka anajua na anajua tena mungu ampe maisha mrefuu❤

AgnessJoseph-ywtx
Автор

Am from Kenya and i I really love the song

JaneAuma-mf
Автор

Kwenye huu wimbo, kuna yule mdada mweupe, mwambieni siwezi kuishi bila yeye aiseee 🙌🏾

NussulupilyaMabilika
Автор

Mm cyo msukuma Ila nakupenda kisukuma na nimejitahid nikijuwe mpaka nimekijua namshukulu Sana mashimba Jeremiah bundara kwakunifuza kisukuma fanta apa

HamisiShekhematipu
Автор

Am from Kenya and i really love this song

JaneAuma-mf