Bando MC Ft Rocky - Naomba Tuongee (Official Lyrics Video)

preview_player
Показать описание
#NewMusic #bando #epicjourney #trending #newmusic
(C) Slide Digital

Bando MC Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Bando MC x Rocky

There are times when we go through challenges until we lose faith in God's presence, life is a mystery to us, we don't know when or what time God can help us, so we should trust him all the time

Follow Bando On:

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

NAOMBA TUONGEE
Chorus

Nishakutafuta kila Kona ya dunia, unaishi wap wewe unaish wap??
Nishakuulizia kila Kona kila njia
Ningejua nyumbani kwako mbona ningeshakutimbia, unaish wapi wewe unaishi wapi??

Kama una muda tuongee (heiyeee eiyeee
Lini Unamuda tuongee (eiyeee eiyeee)
Kama una muda tuongee (eiyeee eiyeee)
Pleas tuongee

Verce
Nimuda sasa nimezunguka kutafuta namba yako/
Nimeulizia kwa watu wanioneshe hata ndugu zako /
Ilanilicho bahati kuoneshwa tu nyumba zako
Nawakuta watumishi Nkiwauliza a juu ya mambo yako wanahis nawakejeli /

Kama hata unacount ya insta nipe jina bwna /
Mana namaongezi nawewe yakina sana /
Wengine wanasema pengine nkucheki pitia maombi/
nshakuomba huu mwaka wa kumi naupo kimya sana /

Au pengine me dhambi kuliko wengine /
Hutaki ulipo weka kambi nifike pengine /
Afu watu wanaposema kwamba MUNGU SIO athumani/
Huyu athumani ninani nimjue pengine/

Pengine anawezq akanambia kwanini /
Kwanini kama MUNGU mmoja kuna ubaguz wa dini /
Kwanin usiweke dini moja na hoja ingekuwa nimoja nadhan hata kila mmoja ingemuingia akilini/

Kwanini kuishi haturidhiki hata sjui kwanini /
Kwann watu wanafariki ndo walioshika dini/
Nakama wewe unaishi juu, natukifa tunakuja uko mbinguni
Sa kwann tunazikwa chini /

Nakuishi nikamari kama mchezo tu wakarata/
Umefanya game rap bongo imepungua marapa /
ungenipa mamlaka yakuchagua wakumchukua /
Ningemwacha godzillah kisha nkamchukua harmorapa/

Kwenye kifo cha AKA kipo ulinitchi/
Nijidefend sa vip kifo cha costa teach/
Au hupendi tunapofanya huu mziki/
Ila Kipaji siulitupa wewe ili tujitaftie ridhiki/

Unachukua wanyonge na unawaacha magaidi/
Nakwenye kesi Zao wanasema MUNGU shahid/
Binadamu wengi tunapenda utupende ila hakuna binadam anaependa umpende zaid /

Kwan vocha ya shingap Inatosha kuongea na wewe big/
Maan namb yako juzi nimepewa na zumarid/
Kila nkipiga haipatikani sijui ya mchongo/
Maana zumarid nae story zake za uongo/

Dini imekuwa biasha imachange from the colour/
Wapigaji niwengi mpaka kuokoka nimsala/
Muumini akitaka gari kanisa linamuombea/
Mchungaji akitaka kanisa linamchangia/

Yupi Bora Mlevi anaekukumbuka MUNGU akiwa bar/
Au mlokole anaemkumbuka dem akiwa church/
Ndege wa angani ambae halimi na ashindi njaa/
Au mi nae haso kila siku nabado sipati /

We ni mungu wawote mbona umeweka matabaka/
Umewapa matajir maskini ukawakata/
Pindi unaninyima why unaruhusu niwe na wivu/
Nakama unahuruma why unanipatia maumivu/

Dada angu anaaamini kwamba we upo kanisani/
Ndo maana anakesha akikuomba sana kanisani/
Hana Ajira mwaka watatu toka ahitim chuo/
Ila shoga zake wadangaj wanamafanikio/

Kaka angu nae anaamin kwamba upo misikitini/
Ndomaana anajitoa kila siku kuirdhini/
Familia inalala njaa yani kutwa kuchele/
Anajirani Yake mganga daily anapeta mchele/


Wanasema we nimkombozo me not ready/
we ndo Yulemajari kwenye ajari ya ndege/
Uliniumba kwa mfano wako kwahiyo me niwewe/
Kumbe nasumbuka kujitafuta me mwenyewe/

We uko wapi kwani nakutafuta/
Au upo kwa Mwamposa au we ndo Yale mafuta/
Wale watu uturuki Tuseme ndo umewasusa/
Sa mbon uneruhusu tetemeko nawamekufa/

Si nivipi nitaamini/
Maana inasemekana hata biblia imeandikwa na watu Kama mimi/
Labda niulize hivi ile siku ya kiham ipo/
Pengine nifununu Ila siku ya mwisho nikifo/

Ila acha tuamin upo
Nahofu ya maisha isifanye tumpe binadam nafasi ya MUNGU/

BandoMC
Автор

Mm hujiuliza kama Kuna msaa mzuri Tanzania nitachukua bando bt nyimbo zake mzuri sana hazina views mbona na bando nimsani mkubwa sana we need to support this man anakipaji 🎉🎉

danielfabmaina
Автор

Tunasubiri sana, waliofika hapa baada ya kuiona TikTok tujuane Kwa like

harunnjagi
Автор

Mungu ni mwaminifu akupe majibu ya maswali yako kwaajili ya utukufu wake 🔥🔥🔥🔥

lkudata
Автор

Oya kama umerudia hili gomaa gonga like hapa na urudie mara kwa mara

lukamavoice
Автор

Sijawahi amini kanisa wala msikiti dini zinaunafki mwingi naamini mungu yupo kwahiyo kila mtu ataishi kwa imani yake

Japhary_HHA
Автор

This ain't a song, its a prayer 🙏.. much love and blessings from KENYA 💯🇰🇪🔥

willinjowritter
Автор

Duuh!! Kwamba Mungu Si athumani??? Afu unataka kumjua athumani !! Daaah hatareee sanaa

FrankMandela-sscf
Автор

"Binadamu wengi tunapenda utupende ila hakuna Binadamu anayependa umpende zaidi" this is my best Lyrics in this song Mr Bando🙏

hosammwinchea
Автор

Hii ngoma ni hatari sipendi hip hop lakni hii nasikiliza mara tatu kwa siku huwezi amini...
Keep moving kijana shout out

emmanuelgeorge
Автор

Mwamba umenisababisha kila nikiboreka nasikiliza huu wimbo wako masaa yote. Salute kwako Mwamba

shayoalakara
Автор

wadaishA Hamorapa ni bonge La L0Ss😂😂😂mziki mkali br0ther_man🙌🔛🔝💯🇰🇪🇰🇪

hamsojuve
Автор

Watu Tunataka Ngoma Zenye TUNGO Kama Hizi, Sio Mataputapu Aiseee! Big Up Mzee Bando Mc✊🏿🔥🔥

khalifasultan
Автор

Huez andika hii ngoma wala kurecord buth kam hauko kweny feeling za hali ya juu..this song is real thing🔥🔥

Vairo_tz
Автор

"Uliniumba kwa mfano wako kwahiyo me niwewe
Kumbe nasumbuka kujitafuta mimi mwenyewe" Deep

Burner_Acc
Автор

Kaka Nyumba zake na watu wake wanakukejeli !!! Kikubwa i Imani ako tuu Broo!!! Kwan ndo Binadamu tulivyo ann

FrankMandela-sscf
Автор

maisha ni fumbo kwetu hatujui muda wala saa Mungu anaweza kuwa msaada kwetu, hivyo yatupasa kumuamini muda na wakati wote.

clementkingu
Автор

This is a masterpiece. He’s a lyricist, knowledgeable about geopolitics and entertainment industry. The religious issues he raised are pertinent too. Much love from Kenya🇰🇪

wilsonkago
Автор

Daaah yaan we jamaa sijui unakwama wapi mshkaji wangu, goma la kwenda kabisa hilii,

gerry_macopper
Автор

Nimesikiliza zaidi ya mara 10 @Bando mc hii ngoma ni kari sana❤

adolphsanga