“Kujiuza sio rahisi”– Huba | S12 | Ep146-150 | Maisha Magic Bongo

preview_player
Показать описание
Happy apambana na Tima juu ya umbra wake. Bi Sikitu amuwangia Doris na Fei aondoka.
---
Endelea kutizama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kwa kutumia Showmax:

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wow happy walai leo umenifurahisha sn yaani vile tima uwanga anajiona kua ni pic kali 😂😂😂😂😂

rosewafula
Автор

Ata tima hakumpend jb Sema tu ndo hiyo Mzimu imeifunga hakili yake Alf Sasa iv timaa Anateseka NA mpenzi yenyewe imetulia tu😂😂😂😂😂😂😂

JemaFideli-rlwe
Автор

Bi sikitu akomi na uchawi kumuangia Doris 😂😂😂 Yaani ukisikia mama ni Mama ndio hii

nellymtambo
Автор

Wow happy ivo ndoinatakikana lazima nyumba mdogo ionyeshe respect 😂😂

Binthamisi-qi
Автор

Anavyo jishaua tima neno uzee limenguza 😂😂😂kweli kavurugwa tima wa bi mgeni

damesabundiko
Автор

Doris kapatikana ujania mwingi mbele kiza

fathimamct
Автор

Ila Tima nawe umezidi kujishauwa jmn kwann ushindane na happy mtoto mdogo mpaka anakuvunjia heshima kaa kwa kutulia au ndo maskini akipata matako ulia mbwata kiukweli unakera wallah kiasi happy akuvunjie heshima au ndo ushambaaaa😂😂😂😂😂na ushambengaaa!!!

rukiaally