RAFIKI MNAFIKI | Hadithizakiswahili2024 | Swahilifairytales2024

preview_player
Показать описание
RAFIKI MNAFIKI

HADITHIZAKISWAHILI2024 | HADITHIZAKISWAHILI

Hapo kale Katika UFALME palitokea Mfalme aliyekuwa akiwaongoza watu wake bila uadilifu….

Wakati fulani Malikia alinifungua mtoto wa kike,mtoto huyu alikuwa mzuri na mrembo mno,nywele zake zilikuwa ni za dhahabu…

Mfalme na Malikia walifurahia Sana kuzaliwa kwa mtoto huyo,kwani alikuwa ni mtoto wa kwanza wa Mfalme…

Mfalme akampa Jina la Losa Binti yake akimaanisha ni kwanza na mwenye nguvu…
Siku moja kwenye UFALME huo walikuja malaika,Malaika walifika hapo ili kumpongeza Mfalme kwa kupata mtoto,Lakini pia walimuonya Sana MFALME na kumsihi kuwa mwema kwa watu wake…

Lakini MFALME Hakuwasikiliza Malaika kwani alijiona kuwa sahihi wakati wote…

Malaika kwa kuona bado MFALME alikuwa ni mkaidi wakaamua kwenda zao..

Siku iliyofuata walipoamka LOSA Binti Mfalme hakuwa na nywele zake za dhahabu kichwani,Tena alibaki akiwa mwenye Upara..Hakikisha Unasubscribe kwa video zaidi...

CREDIT : WOA FAIRY TALES ENGLISH

#swahilifairytales2024 #katunizakiswahili #swahilifairytales2024
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ni vzr ukaonesha na vitendo sio simulizi tupu

LelaHassan-xvsm
Автор

Wangekua wanafanya na vitendo ingekua bomba. Sana

DevothaSukum
Автор

Naomba jitaidi kuweka na vitendo sio picha tupi

Zuwenahu
Автор

Hii hadithi nimeipenda sabb ya frances 😂😂😂 niulizen kwann

ZaunaSafari
Автор

Ni kweli ndungu zangu aeke vitendo sio picha

VeronicaJoseph-bxzl