ZUENA FULL MOVIE

preview_player
Показать описание
Ni filamu iliyoigizwa kwa lugha ya kipokomo na vijana kutoka TANA RIVER pia ni filamu iliyojaa mafunzo na maadili ndani yake hivyo basi unaweza kutazama na familia.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Video hii noma sanaa wallah usimiss kuiwatch usisahau kucomment, like na ku subscribe❤❤❤

hijrafilmproduction
Автор

Moja kali sana 🎉🎉🎉keep up the good work

MohamedKibwana-ov
Автор

Hongera sana vijana wa nyumbani. Kwa kweli mumejituma kuonyesha vipaji vipo

abuswalehabdallah
Автор

Kazi nzuri sana walai..
Tana to the world 🙌💥💪🔥💯

EmulJay
Автор

An extraordinary Pokomo movie of its own kind. Chamwanamuma hamubayaaaa! Hongera bro Gawawa, prince Mohaa and your crew. ❤

salimmaro
Автор

Zuena . 🔥 one of the best film from Pokomo land big up Hijra films 💯

MuhammadBuyah-onnm
Автор

Congratulation mashaallah watu wetu wa nyumbani chukueni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ aki nmependa xna kumbe nasi twaweza😂😂😂😂😂Bakari kuhanwa mara ntahu vijiza kuhikiza 😂😂😂😂😂kisa na maana😂😂

مستورهالعنزي-يه
Автор

Nimependa sana hii movie keep going up brothers

AbbasBonea
Автор

Woow 🎉🎉 this is amazing hongereni Sana. Mnaeza fanya zaidi ya hii a salute you vijana wa kwehu❤p

AnnoyedBurger-fihd
Автор

Walai nimependa sana hii movie ya kipokomo congratolation

AliKombo-rq
Автор

Hongereni 😂😂 ila uchamwa ni mwingi 😂😅😅

jillokomora
Автор

Hongrani watu wa home mko sawa ongezen bidii much love ❤❤❤❤❤

MishyOmary-txhl
Автор

😅😅😅😅😅😅😅Chara eehu jamani 😅😅😅😅 zuena kuhendea hatarii iinoo awee, eti daktari kwamba wote awo wakimwi😂😂

FATUMABARISA-fo
Автор

Mashaallah! Hijrah hoyeee! mungu awajalie muwe na huo huo Moyo wa Umoja.

MohamedGalanah
Автор

Congratulations Chara to the world 🔥🔥🔥

SAIDBUTE
Автор

Mashaallah mumeweza maua yenu 🎉🎉🎉🎉 big it up 😊😊

NamkuuAa
Автор

😂😂😂😂😂😂😂One of its own kind. Congratulations. Tana 😂😂😂#mjiddho ya Ozi

saidsalim
Автор

Movie kali wallah daaah watu wa home kwel nakubali💪👌👍🤣🤣🤣

ModyJunior-bk
Автор

Safi Sana, KAZI mzur watu WA nyumban.

MuhamedGalana-lxym
Автор

Mashalah mko vizuri sana I say ni balaa🔥🔥

MwanatumuHaluwa