KMC WAKUBALI YAISHE AWESU NI MALI YA SIMBA SC

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Lilikua ni swala la muda tu❤❤❤ ubaya ubwela

Shedrackh
Автор

Uwanja wao wametupa na mchezaji wao wametupa, hii ni simba

muksinimbaruku
Автор

Wengi mlitaka Simba ikwame, tunajua Simba ina vita nje ya uwanja na Yanga, safari hii mtaita maji mmaa

elkanangosha
Автор

Wamekubali yaishe au Simba wametekeleza utaratibu uliotakiwa???

alanmwijarubi
Автор

Endeleeni kuomba likes. Mtaishia kuutaka na kuuponza

MudiMnyamwezi
Автор

Tatizo timu nyingi ndogo Tanzania apa viongozi wao wana njaa sana na wanatamaa ya pesa ndio hawa viongozi matumbo walikuwa wanazuia muda mrefu mpira wa Tanzania usikue

SmilingBulldogPuppy-nbur
Автор

Simba ni kubwa kuliko hao zwazwa fc😅😅😅😅

absm
Автор

Ivi nyie wajinga mnaopenda kuomba like.zinawapaga faida gani kwani?

ANTHONY.V.I.Ptanzania
Автор

Kmc walitaka kumshika sharubu Simba tukawasomea kurujuan ya buku tu😂

FatmaHamad-gs
Автор

Wengi mlitaka Simba ikwame, tunajua Simba ina vita nje ya uwanja na Yanga, safari hii mtaita maji mmaa

elkanangosha