MWILI WA ALIYEPOTEA WAFUKULIWA KWA MGANGA, WANANCHI WALETA NOMA, POLISI WATUMIA MABOMU KUTULIZA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hawa watoto wetu sikuhizi hawataki shiule wanataka utajiri mungu tusaidie sana

GraceSadalla
Автор

Jamani serikali yetu sikivu pga maarufuku hawa magagnga ya kienyeji jamani futa hki kitengo cha waganga tunaisha watanzania tusaidie

Magreth-fj
Автор

Nchi yangu tanzania imekuwa na watu wenye roho za kikatili uuwiii tunaelekea nyakati za mwisho

HyasinthaMosha
Автор

Selikari vp mbna hatuielewi au ndo makafara ya kitaifa, tunaumia jman

JustinMwakalukila
Автор

Watu hawamtaki Yesu wanataka waganga matokeo yake wanaanza kulia jamani tuokoke tumkubali Yesu haya mambo hattayaskia

JohnNicolaus
Автор

Ukifata mnyororo wa aliesuka mauaji, , , unakuta ni mwanasiasa mkubwa

vibetz
Автор

Makuro mumeharibu singinda haya ya vngo vya sir ilikua Kanda ya ziwa imekuaje, asee, half hamjalia mganga kienyeji, had kaenda police,

HamisMghuna-fjvz
Автор

matukio yamekuwa yamekuwa noma san tunatamani hata kuhama Tanzania

YusraMadodo-xqgw
Автор

Miaka 3 tu iliyopita hakukuwa na huu upumbavu 😢😢

majaliwabwitonde
Автор

Hii ni mbaya jamani kwanini tumekua na roho mbaya hivi wanaadam eee Mungu tusimamie tunakuomba.

mwanas
Автор

Mko sawa serikali imeshindwa fanyeni maamuzi kama lamadi simiyu walivyofanya hamna namna

JeremiahKaliwa-hw
Автор

Yan hata police asiwah kwenda kukamata mtu amevaa nguo za nyumban
Kwa matukio haya
Hatakuwa sarama

saimongilala
Автор

Kwenden hukooo 😢watu wanapotea muda mrfu

taucdulle