MAKABILA 10 YENYE WAREMBO ZAIDI TANZANIA

preview_player
Показать описание
#subscribe #UkweliTv leo

1.WAHIRAKI- Hawa wanawake wakiaraki ni weupe Kwa muonekano,wamejaliwa maumbo mazuri na wanavutia Kwa kuangalia tu!Wanapatikana Kaskazini mwa Tanzania, uko Manyara .

3. WANYIRAMBA - Hawa ni warembo sana wa sura na maumbile yao.Huwa wanapatikana Singida kaskazini,usipokuwa makini unaeza wafananisha na wanyaturu.

5.WAHAYA - Hawa ni wanawake wa jamii Ya kanda ya Ziwa Victoria. Maumbile yao yanyuma ni balaa,miguu yao inasemekana ni ya bia,shepu zao zinamvuto wa kipekee! Wanapatikana Bukoba.

6.WANYATURU -Hawa ni wanawake wanaofananishwa na wanyarimba ni warembo na wenye mvuto na nidhamu kwa wanaume zao,upole na nidhamu yao upelekea kuolewa na kudumu Kwa ndoa.

7.WAPARE - Hii ni jamii ya kutokea Moshi,wilaya ya Same,wako vizuri kishepu na kisura,wanatajika Kwa Sifa ya kuwajali waume zao.

8. WAMAKONDE - Hawa wanawake no wazuri na wenye mvuto wa kumnasa mwanamume Kwa haraka! Ni wazuri wa kufanya mapenzi, Wanapatikana Kusini mwa Tanzania, Mtwara na lindi.

10. WANYAKYUSA - Hawa ni wanawake wanaotoka moja Kwa moja katika mkoa wa Mbeya,Hawa wanawake wengi wao ni weusi wa muonekano,ila sura zao huwa mzuri na wenye kuvitia sana,watalaam wanawaita "The African black beauty"

NB: Mliooa na wenye wachumba wa makabila mengine,poleni kama itakuwabumekwazika.
Tupia comment yako tujue unawakubali wanawake gani kati ya Hawa!
Рекомендации по теме