TIBA YA MARADHI YA KICHWA AINA ZOTE

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Assallam alleykum sheikh upakaji wake

MohammedSaid-wykn
Автор

mm daktari chanibana sana kishogoni utosini na kwenye komo pande za ubongoni karibu na mashikioni pande zote mbili kina nibana sana

zainaomar
Автор

Sasa hujaelezea unapakaji unaanzia upande gani na kama una nywele haina tatizo

MohammedSaid-wykn
Автор

Mm mwanangu anasumbuliwa na kichwa sana na tumbo kujaa pamoja na kifua na homa na mafua jee nitumie dawa gani

baderabdullah
Автор

samahani dokta jee dawa ya alama ile kati kati ya kichwa kwa mtoto hufanya kama kupasuka au kugawika kichwa ni dawa gani nisaidie

hamadmshenga
Автор

Habari perfect tv je ukiwa na shida ya kumbukumbu yaani kusahausahau tiba yake ni nn

alimtikuu
Автор

Kama kichwa kinakuwa kama kina ganzi na mikono?

emmanuelphysonmwamwaja
Автор

Mimi kinakuwa kinanikaza sana natamani nipigie kelele Shida nn

AbdulNofel
Автор

Unaweza kupaka ata kama kichwa kimeshapoa

shabanmashauri