Jinsi ya kufanya retouch picha kwa kutumia adobe photoshop CC 2015

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

nimekubali saana kazi zakooo...kamaa nawe unamkubli gonga like

hajikibwana
Автор

Asante mwl umenifundisha nimeelewa.Swali langu ni kwamba nikishaing'arisha picha nataka niitoe kwenye leyer ili niipeleke kwenye file lingine bila leyer.nifanyaje ?

simonzakaria
Автор

Kiwango chako bado kidogo sana, hauna maelezo yakujitosheleza

nassibchatta
Автор

Mm nahitaji Master collection Adobe CS6

ablamymussa
Автор

Nitumie number yako bro ambayo unatumia WHATSAPP

raiyaphotography