MAPYA YAIBUKA: KESI YA ALIYEIBA WATOTO, SHAHIDI MTOTO ALIZA WATU MAHAKAMANI..

preview_player
Показать описание
MAPYA YAIBUKA: KESI YA ALIYEIBA WATOTO, SHAHIDI MTOTO ALIZA WATU MAHAKAMANI..

WANANCHI, Mashahidi na baadhi ya Maofisa waliokuwa ndani ya ukumbi wa Mahakama ya Wilaya ya Mbeya, wamejikuta wakimwaga machozi baada ya mtoto aliyeibwa kuingia ndani ya ukumbi huo kwa lengo la kutoa ushahidi kuanza kulia baada ya kumuona mtuhumiwa..

Hali hiyo imesababisha kesi hiyo ya wizi wa watoto kusimama kwa muda kupisha hali ya simanzi iliyokuwa imetawala ukumbi huo wa mahakama.

Kabla ya kuibuka vilio ndani ya Mahakama hiyo, Hakimu wa Wilaya, Zawadi Laizer alikuwa akiendelea kusikiliza kesi hiyo kama kawada ambapo ushahidi wa awali ulianza kutolewa na baba mzazi wa watoto hao ambao ni Faisal Mashaka (5) na Farhana Mashaka (2).

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama mwenyez mungu ajakujalia kupata mtoto nenda hata vituo vya kulelea watoto yatima ukachukue mtoto kisheria na siyo kuiba watoto.

hanialsalti
Автор

Kama ulikuwa na shida ya mtoto si ungeomba kwa wahusika jaman tunakwama wapi

upendoabraham
Автор

Huyu mama ni Mchawi au vipi? Je? Adhabu gani inamtaka mwizi huyo?

harounbuzohera