Suley aeleza jinsi anavyo mkubali sultan king ndiye msanii anaye mwangalia ndani ya mziki wake

preview_player
Показать описание
Ni msanii kutokea zanzibar na anafanya mziki wa bongo fleva hapa hapa nyumbani znz na mtu amabaya anajiamini sana na asaha kutana na wasanii wengi sana kutokea bara na ashaenda show tofaut na kwa sasa amekuja na nyimbo yake mwenyewe na kujulikana na kufanya mziki like diamond na wengine kibao .
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

mwenyezi mungu akuongozeze suley kwenye kipaji chako ufike mbali sana zaidi ya apo na mzamini wako pia namuombe kwa halla uwe na moyo uwo uwo wa kusaidi mtu inshaallah

dogorasially
Автор

Mtangazaji anampotezea msanii nafasi yake ya kujinadi, anang'ang'ania kumuuliza kuhusu sultan na Wasafi na Mkubwa fela Kiajeee maswali ili akijibu yamjenge kwa Kwa Fans.by the way Hongereni Keep it up. #2018Vitendotuu

Mamachibu