IMEPATIKANA VIDEO: Alichosema TESA Siku Chache Kabla Yakufariki, Alimkumbuka Marehemu Kanumba..

preview_player
Показать описание
IMEPATIKANA VIDEO: Alichosema TESA Siku Chache Kabla Yakufariki, Alimkumbuka Marehemu Kanumba..
.
.
.
.
.
.
.#TESAAFARIKIDUNIA #TESAWAHUBA
#gracemapundaafarikidunia #gracemapunda #gracemapundawahuba
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Pumzika kwa amani Tesa wetu jamaniii, watanzania tutakumis saana.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi

aseraadrian
Автор

Mwenyezi mungu akupunguzie adhabu ya kaburi akuwekee Nuru katika kabuli lako kipenz chetu tumeumia sana

AshuraIssa-pv
Автор

Wawooo hongera happyness Kwa kumpenda mama Yako ...na polee sana

marycelestin
Автор

R.I.P Grace Mapunda tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.
Nilitegemea siku nikukute upate surprise yangu.Ulikuwa star kwa wakina mama wote.

hopegwimile
Автор

Daa! Kizuri hakidumu! Mama pumzika ila tutakukumbuka kwa mazuri

EmmanuelHesa
Автор

Mungu akuondoshee adhabu ya kaburi, upumzike kwa amani Tesa wetu😢😢😢😢😢

aishafrancis
Автор

Aisee MUNGU awe faraja kwa family na watanzania wote tulikupenda Sana ila MUNGU amekupenda zaid

MariaMdumi-xszx
Автор

Love this amazing actress mala w hekima😢. Rip Tesa

mercychebet
Автор

Huyu mama nlikua nampenda sana sana natamani ningekuwa dar hakika jinsi nlivyokuwa nampenda niende tu hata msibani nampenda huyu mam sana sijaamini nliona kama uzushi ila nlikua kuamini ni kweli Mungu ampe pumziko la aman

joyceraphael
Автор

Kaka tafadhari nahitaji mawasiliano na nyie tiki tv

nannakhamis