Golden Duet | Trillion na Bruce | #TEAMOMMYDIMPOZ

preview_player
Показать описание
Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 11 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel

Bongo Star Search
Follow Our Pages
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bwana bwana bwana...! Huyu Bruce huyu ni hatari...! Yani hasa akisema BAND STOP!!!! Jua kinachofata hapo ni 🔥🔥🔥🔥🔥 OMMY KAZI NZURI👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

moureenmartin
Автор

Bruce...love u unaimb vzr una kipaji bro

rebeccalucas
Автор

Napenda Sana kumuona jamaa wa jeneza anavyodance hilo jukwaa kalitendea haki kweli nmemkubali NIPENI LIKE

habarimpya
Автор

Mbn mnawasahau hawa wakaka walio imba nyimbo ya sauti soul wameua sanaaa

monicacyprian
Автор

Kwakweri wakaka zangu mumeimba vizuri sana👍👍👍👍

julienneakimana
Автор

New bongo style RNB raggae nice one bss from USA GT

salehalzakwani
Автор

I like the collable ya trillion na mwenzie Bruce wametisha

evamanga
Автор

My favourite guy is Bruce this season, keep up🔥🔥

metrinewanjala
Автор

Kila muda nataman kuwatazam vijan hawa coz na enjoy❤❤❤❤❤

hawapherooz
Автор

Hapa Nachoweza Kusema Ni Kwamba Wasanii Bongo Wapo. Hongera Ommy Dimpoz Kwa Wimbo Mzuri Sana

gresmorutatinisibwa
Автор

Bruce na elius Mnatisha sana vijana hasa huyo mchalaza Gita hatari sana timu ommy oyeee

benardrichard
Автор

Ilà izo tabia mbaya madam & master
Musirudie mambo hayo❤️❤️❤️❤️❤️

Richard-pbmt
Автор

Yani this guys oh my god they made my day.wako vizuri sana

mgenimzee
Автор

The best performance ever, love the energy 🥰💪

elizabethkristine
Автор

Trillion anajua kutawala jukwaa na ndio mziki wenye soko sasa hivi, Simba anawapigia gape wasanii wengine hapo, Kiufupi Trillion

hamisikidabadaba
Автор

Jamaa wa jeneza anajua kudance na wimbo yuko vizuri sana

habarimpya
Автор

Ningewashahuri next tme waimne umukwano wo by kiba and tmmy watfnya vzur Beka fro 🇳🇦

bakarykarekezi
Автор

Kiukweli hii ni my favorite duet ever nataman hawa vijana liwe kundi kiukwel

SwahiliAmbasador
Автор

Madam na master msirudie tena kunywa konyagi mda wa kazi😁😁

rabiaiddi
Автор

they such a good chemistry wakiwa pamoja, i like that, if you love gonga like😉

allenstian
visit shbcf.ru