UWEZESHAJI WA VIJANA - MOMBASA

preview_player
Показать описание
Vijana wamehimizwa kukumbatia ujasiriamali ambao utasababisha ukuaji wa uchumi badala ya kazi ngumu za kibiashara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mpango wa Uwezeshaji Vijana (YEPI) Amani Katana amewashauri vijana wa kiume na wa kike kuchangamkia teknolojia na ujasiriamali ili kukabiliana na kasi kubwa ya ukosefu wa ajira nchini.
Victor Owino mwanzilishi na mkurugenzi wa Trek Africa, kampuni ya utalii alisema mkutano huo uliwapa wajasiriamali hao vijana mawazo ya kuwa waundaji wa hatima yao.
Рекомендации по теме