filmov
tv
Msalabani Pa Mwokozi

Показать описание
Msalabani pa mwokozi,
Hapo niliomba upozi,
Akaniokoa mpenzi,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Akaniokoa mpenzi,
Mwana wa Mungu.
Chini ya mti msumbufu,
Niliomba utakatifu,
Alinikomboa kwa damu,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Alinikomboa kwa damu,
Mwana wa Mungu.
Aliniokoa dhambini,
Ikawa kunikaa ndani,
Aliponifia mtini,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Aliponifia Mtini,
Mwana wa Mungu.
Damu ya Yesu ya thamani,
Huniokoa makosani,
Huniendesha wokovuni,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Huniendesha wokovuni,
Mwana wa Mungu.
Hicho kijito cha gharama,
Leo jivike kwa kuzama,
Kwake uuone uzima,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Kwake uuone uzima,
Mwana wa Mungu.
Hapo niliomba upozi,
Akaniokoa mpenzi,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Akaniokoa mpenzi,
Mwana wa Mungu.
Chini ya mti msumbufu,
Niliomba utakatifu,
Alinikomboa kwa damu,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Alinikomboa kwa damu,
Mwana wa Mungu.
Aliniokoa dhambini,
Ikawa kunikaa ndani,
Aliponifia mtini,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Aliponifia Mtini,
Mwana wa Mungu.
Damu ya Yesu ya thamani,
Huniokoa makosani,
Huniendesha wokovuni,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Huniendesha wokovuni,
Mwana wa Mungu.
Hicho kijito cha gharama,
Leo jivike kwa kuzama,
Kwake uuone uzima,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Kwake uuone uzima,
Mwana wa Mungu.
Neema Gospel Choir - Msalabani (Official Live Music)
MSALABANI PA MWOKOZI TENZI NO. 77. BY DANIEL SIFUNA. #SWAHILI WORSHIP SONGS. #trending #viral.
MSALABANI PA MWOKOZI. TENZI NAMBA 77
TENZI NAMBA 77.MSALABANI PA MWOKOZI.
MSALABANI PA MWOKOZI RACHAEL NYARANGI AND KELSY KERUBO
Msalabani Pa Mwokozi - Cover by Kestin Mbogo
Msalabani pa mwokozi, Neema Gospel [Cover by KG1]
MERCYLINAH - MSALABANI (OFFICIAL VIDEO)
SPIRIRITUAL PRAISE HYMNS | TENZI ZA ROHONI
Swahili Hymn || Msalabani Pa Mwokozi (Down at the cross) || Nyimbo za Kristo #19
MSALABANI PA MWOKOZI - NYIMBO ZA WATOTO
Msalabani pa mwokozi - NYIMBO ZA WATOTO
Msalabani Pa Mwokozi
Msalabani Pa Mwokozi Cover
Usifiwe msalaba Yesu | Msalaba wa Yesu
MSALABANI PA MWOKOZI - Chemichemi Za Uzima Praise & Worship Team
Dinu Zeno Msalabani Pa Mwokozi Tenzi no 77
MSALABANI PA MWOKOZI
Msalabani (Live Easter Edition) - Neema Gospel Choir
MSALABANI PA MWOKOZI || 'DOWN AT THE CROSS'
MSALABANI- Neema Gospel Choir (Official Audio) The Sound of Ahsante
MSALABANI PA MWOKOZI By Ahero Central Ambassadors
Msalabani Pa Mwokozi - Nyimbo za Kristo 019
Msalabani Pa Mwokozi (Lugha ya Alama)
Комментарии