Watu 7 Maarufu Waliowahi Kuwa Na Fedha Nyingi Na Baadaye Kufilisika (Raisi mstaafu wa Marekani yumo)

preview_player
Показать описание
Hii ni orodha ya watu maarufu na mashuhuri duniani katika nyanja au sekta mbalimbali ambao walikuwa wakiingiza fedha nyingi sana lakini baadaye mambo yakageuka na kufanya wafilisike na kushindwa hata kujihudumia wao wenyewe.

Katika orodha hii yupo raisi mstaafu wa Marekani pia. Angalia jinsi alivyoingizwa chaka na kupelekea kubaki na madeni mengi na mwisho kupelekea kifo chake.

Mtu gani maarufu mwigine unamfahau ambaye amefilisika pia? Niandikie kwenye comment hapa chini. Pia nitafurahi ukiniambia umejifunza au tunapaswa kujifunza nini kutokana na maisha ya hawa watu maarufu ambao wamefilisika.

Usisahau ku-LIKE video hii, ku-Comment maoni yako, ku-SHARE na wnzio wengi mitandaoni pamoja na ku-SUBSCRIBE ili usikose vitu vizuri ninavyoendelea kukuandalia.

#BrokeCelebrities #MikeTyson #USpresident #Money #Fame #DennisRodman
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Big up mzee, ...mm nadhan ni matumizi mabaya yà fedha...kukosa financial disciplin...Pia njoo na list ya hapa bongo...usiwahau na RAIA wa Ud ambao wanàdaiwa na loan board mkwanja mrefu kupita maelezo...

salvatoryikenea
Автор

Bora ufulisike marekani kuliko kufilisika Tanzania, unaweza tamani dunia ipasuke ujufukie, maana tz huandamwi na serikali bali ndugu jamaa na marafiki ndo watakao kuandama.

shadrackjohn