SIRI YA HUBA { 16 }

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Amazing movie tia like Rk upcoming KANUMBA IN TANZANIA 🎉🎉🎉 Do you

Officialgypsumz
Автор

Assalam aleykum, bwana yesu asifiwe
Anaesoma text hii Mungu ampe kila hitaji la moyo wake Amina🙏

samiasalum
Автор

Hats off to the Folks. They did, does, and continues to do the great😊. Let's me say that you have done ✅. 💯❣️. Ingressive to Jack, extraordinary Rk, Raw and hugs to Irene, lastly! Impressive and commendable work to BENLEE. But Appreciation to all @ on their scene 🤝🤝✊✊❣️❣️❣️♥️♥️❤️❤️

AMELYEKISESE-uyjh
Автор

Amaizing Movie from R_k Tunga 💯 Jamani kama unaamini pengo la Kanumba limezibwa na R_k please gonga like hapa

noeldesderius
Автор

Good awam hii umewah kutuletea epsod nyingine mashaallah Sasa wahisha na inayofata brother Rk

MAHADY-fh
Автор

Wanaokubali RK anampenda sanaaa jacky tuende nalo humo tu 🎉🎉🎉❤❤❤

LewisHamiltonGLD
Автор

Mchezaji hatimaye kachezwa🤣🤣🤣benlee tambua mtaka vyote hukosa vyote mwsho kilio n kujilaum 😂😂love from 🇰🇪🇸🇦🥰🥰🥰 team strong

judithpendo
Автор

Ambae anasoma comment hii mwenyezi Mungu amjalie afya njema na maisha marefu🙏🙏🙏

chaliboy
Автор

Waliomkubaliii jack kuwa na msimamo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉weka like hapa 🎉🎉🎉🎉

FrankLuhaha-dtsh
Автор

HasBuNallah WaNiiMaL WakiL to All Muslim prayer 🤲🙏❤

RahmaMutesi-se
Автор

Pole benlin moyo wa mwanamke ukichoka na mateso huwa unachoka kweli.Kukurudisha tena ngumu sana.

SECILIAEZEKIELMREMA-muxl
Автор

👍👍team rk wakwanza from congo wanao fatiliya mwanzao mpaka apa tujuane kwa like

BagumaJulienBagumaJulien-kg
Автор

Rk kazi unayo irine na jack kizaazaa icho😂😂😂 kimeuman ya leo kali sana tunapenda kazi zenu ❤❤❤❤❤❤

Salma-pduh
Автор

Rk kazana sana kwa Nini una ogopa wana wake🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

LampardShungujohn
Автор

Siku hizi RK ameanza kutuwahishia series yetu pendwa ❤🎉

HAWAMAULIDI-zlxd
Автор

Waooo jack umetuheshimisha kwa msimamo 🎉🎉🎉

AshuraKigoma-vfwb
Автор

From kenya 🇰🇪 254 I appreciate, team RK tujuane apa chini❤🎉🎉🎉👇👇👇👇

PatronizeNgombo
Автор

Rk mnajua sanaaa sema mnatuacha kwenye uhondoo msichelewe Sasa kutoa muendelezo

PitaEliasi
Автор

Rk kiptap kazi nzuri sana naombeni like zenu kutoka kenya

Nickparroty-rg
Автор

The first to watch ❤❤ much love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 mnipatie likes zangu tunae penda love ya RK na Ilene

Chazontime