kwetu studio

preview_player
Показать описание
💪KURYA MUSIC
*KABILA LA WAKURYA*
Abakuria (au Wakurya) ni kabila la watu wanaoishi katika wilaya za
*Rorya, Tarime na Serengeti*
kwenye mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania, na katika wilaya za magharibi na mashariki mwa Mkoa wa Nyanza katika sehemu ya kusini mashariki ya Kenya.

Mnamo mwaka 2005, idadi ya Abakuria ilikadiriwa kuwa *690,000* ikiwa ni *430,000* wanaoishi nchini Tanzania na *260,000* nchini Kenya. Lugha yao ni Kikuria.
Abakuria ni wakulima na wafugaji, huku Abakuria wa nchini Kenya wakiegemea sana kwa kilimo nao wa nchini Tanzania wakiegemea sana ufugaji.
Imeandaliwa na MASWI MASENDA MAGIGE
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Etobi, kaza kaka, nakuona kwenye bonge la mitambo

mwitanyahiri