Vaileth Mwaisumo - Vita Si yangu (Ep Audio)

preview_player
Показать описание
Chini ya jua ni mapambano, maadui kila kona ila uzuri ni kwamba yupo mtetezi wimbo huu ukupe ujasiri mkuu kuwa katika hiyo vita hauko peke yako yupo MUNGU atakutetea kwani VITA NI YA MUNGU.#vailethmwaisumo #vitasivyangu #mashimomnayonichimbia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Like the song is really nice what others do to hurt others in the society .

lucasmoseti
Автор

Am here from tiktok 😭😭😭😭 am blessed aki Vaileth mungu akubariki pia uzidi kutupatia nyimbo zinazotutia moyo na nguvu maishani at times i feel to take my own life and just rest because of the hell am going through 😢 bt your songs keeps me going. God bless you more🙏🙏it took me 45minutes to type this short words i couldn't control my tears and pain while listening to this song😢😢😢

merrym
Автор

Hiaya tupatane pale tiktok tusukume huu wimbo.

VincentKe
Автор

Hiii imenigusaa sanaa barikiwa mama vayolet

gedionmbuvi
Автор

Your blessings to my life mum God bless your for me❤❤❤

silviamigarusha
Автор

Woyy jesus vita ni vya mungu anipikanie

imaniproduction
Автор

Ameen, vita si yangu vita ni ya Mungu, hallelujah, 🙏🙏🙏, barikiwa Sana dada wimbo mzuri sana jamani🎉🎉🎉🎉💪💪💪💪💪

florencenekesa
Автор

Hakuka Nimebarikiwa kweli vita siviangi....vita ya mungu.

KevinKidavi
Автор

Vaileth mama wa nguvu, God bless you abundantly, , , nakumbukua niliachwa na wazazi nikiwa mdogo, , tukateswa lakini zaidi ya yote vita si vyangu, , ni vya mungu, , , amenishindia leo Jehovah

nicholasmutua
Автор

Mungu nipiganie it's heavy for me 😢

johnkahiga
Автор

Nipiganie vita mungu wangu barikiwa sana dada watching from Baghdad

zakayowaweru
Автор

barikiwa sana dada vai mungu azidi kukutumia katika kazi yake...

salviuskamaza
Автор

Bwana yesu asifiwe mama nakusubiri sana huo wimbo mbingu wambinguni ameuweka muhuri wake

Charosilas
Автор

Blessings forever mama. Great voices praising and enabling us to keep close to God ❤. Be blessed mama

tumuhairweboreen
Автор

That song soo nice 🤗 God bless you I like it the song❤❤❤❤

shivamaria
Автор

Haki nabarikiwa sana kwa huu wimbo mum mungu azdi kukutia ngvu pia wwe

AliceCharo-qb
Автор

ndio bwana vita siyangu vita yamungu amen ameeen ninakuamini mungu 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥

frenkmsuya
Автор

Nakupenda sana ❤️❤️ huwa napata nyuvu nikisikia nyimbo zako❤

felixsavai
Автор

Your songs keeps me moving, keeps me strong coz every day nafeel nikiwa down so sitoangi earphones kwa maskio, zidi kutuweka nguvu mama

shelmithwilliams
Автор

Vita si yangu ❤ ubarikiwe mtumishi wa Mungu

WitnessJonas