MSHAMBULIAJI WA UBAYA UBWELA | LEONEL ATEBA SIKU YA KWANZA MAZOEZINI KMC COMPLEX

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE NOW:

About the Official Simba SC YouTube Channel:

Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu awalinde na mabaya yote ❤❤❤❤ simba nguvu Moja

AzizaMayemba-tdpo
Автор

Simba nguvu moja Mungu naomba uibariki Simba sports club 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

WendeMposola
Автор

Mungu awabariki wachezaji wetu simba nguvu moja

SamiraKhamis-nlki
Автор

Wachezaji wazuri tunao Maashaalhaa ila nawaomba Sana viongozi wetu wawakinge hawa Wachezaji Utopolo ni wabaya Sana watatuumizia Wachezaji wetu 🙏🏾🙏🏾

HawaKalwanya
Автор

Simba yangu naipenda sana nguvu moja❤❤❤❤❤

OdaxJonh
Автор

Asante mama samia kwa kufanikisha streka kutua mama samia mitano tena kazi iendelee

ClausDalu
Автор

Mambo ni moto ubaya ubwela simba nguvu moja ❤❤❤

JohnIssa-fnlf
Автор

Mungu ijalie Simba tufanyevizuli nasisi

DainessKongela
Автор

Naiamini sana timu yangu hakika furaha ipo msimu huu

AmosByelembo
Автор

Kwa Simba hii, patachimbika kwa kweli. Ni ushindi hadi mwisho wa ligi.

JohnJohn-fsex
Автор

Mungu awaongeze sku zote na muoneshe juhudi ya kuipamba ia nembo yetu wanasimba nguvu mojaa

DavidNhonya
Автор

Naiombea team yangu kila siku Mungu awaepushe na mabaya yote na nawaombea wazidi kupambana na hawaepushe na majeraha 🙏

nilmadaudi
Автор

Me nitaenda na 1 masa 2 kiili 3hussen 4 shamo 5 maloni 6debora 7mtale 8ngoma 9mkwala 10 ahuo 11 barua sabu ally salimu ateba shomari chasambi karabanka mzamiru huseni kazi nouma mashaka ilove simba

MgayaRichard
Автор

Jamani tusiwe wepesi wa kulalamika tiny ni nzuri sana

MagesaBenadusKiraryo
Автор

Che I see you have a new team mate. Courage.❤

tibimunyam
Автор

Tuone wote kwa pamoja hiki kikosi kinafaa 1 Mssa 2 Kijiji 3 Zimbwe 4 Malone 5 Shamo 6 Debola 7 Kalabaka 8 Agast 9 Ateba 10 Mntale 11 Mkwala

hssanrubota
Автор

Nafikiri manula atakuwa amejifunza afanye kazi aache kupokea vibahasha.

RashidiMwiga
Автор

Wachezaji tunao ila mpira ni siasa tunajua fika magufuli alikua Simba ndo maana tukafanya vizuri sasa no zamu ya mama siunajua ni kipenzi cha Wana yanga kwahiyo tuwe na uvumilivu mpaka amalize muda wake

Sadock-r