MC Pilipili afunguka Wachungaji Matapeli wanavyoibia waumini, aeleza alivyoitwa na Kiboko ya Wachawi

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I like this man of God ❤very vacaland humble...🙏🙏

winnieamanya
Автор

Si kweli Daidi alikuwa alisema nitakaa nyumbani mwake Bwana siku zote!
Na kazi za mikono tunafanya

mwl.michaelsainethmlowe
Автор

MATHAYO 11:24 "Na manabii wengi wa uongo watatokea na kudanganya wengi!"

cosmasmilanzi
Автор

Kweli!I sikuwahi kujua walikuwa na mahusiano na Nandy na Nicole kweli kisicho ridhiki hakiliki 🤷‍♂️but mungu amempa mrembo mwingine

EmmyNamoyo
Автор

Bundala unanogesha sana kipindi, na Star Mpilipili anaonekana bado ana imani na hofu ya Mungu tofauti na Mastaa na wasanii wengi. Hana wivu, husda mbaya, wala kufuru

elibarikimollel
Автор

Lakini Billnass amemu pambania Nandi sana hata nilikua na muhurumia

rerisamba
Автор

Nimeichukuahii, , kama bado upohai unaweza kufanya jambo likafanikiwa, , , ,

FrankMganga-xk
Автор

Wau Nandi itabidi uandike wafanyikazi 10

rerisamba
Автор

KWENYE SWALI LA KUHUSU KUFUNGA KANISA HUJAJIBU VIZURI KAKA ANGU

HASSANBAKARI-qc
Автор

😂😂😂kumbe watu wameumizwa jmn dah ulipeleka samaki kwa paka

FatmaHamad-gs
Автор

Usimfananishe Daimond na Yesu kwamba anaondoka na kijiji YESU NIMKUU SANA ndugu hivi umeshindwa kuona wakumfananisha ww ushapotea.

oscanyakunga
Автор

Sasa braZA😂SKY Mwanamke kumzidi pesa mwanaume ni kawaida yeye anaweza pewa na wanaume

braggadachu
Автор

Hapo anachanganya mambo yesu kristo hakuwa Selebreti hata kidogo ndio maana walimuua 😊

mwl.michaelsainethmlowe
Автор

Lol😢 mwanaume anaongea yeyeee tuuuu mtihani

OnlyRuky
Автор

Kama kina Nduttu wake cjui wanachekesha nini yaani

alexkalonga
Автор

Eti unapumua kwa sabab umetoa sadaka gani wajapani Wanaish mpk miaka mia na 20 na awamjui mungu wko

iam_sami
Автор

Na mafuta yaliyoketwa na kahaba mariamu ndo yaluandaa mazishi ya yesu, shida watu hawasomi neno na kuelewa

malkiarosemuhando
Автор

Maisha haya kweli usimcheke mtu wala kumdharau mtu, , chochote kinawezekana katika haya maisha

dorahmavazi
Автор

Je nabii wa uongo anaetumia mashetani wakubwa kuwatoa watu mapepo na kuwaponya watu magonjwa kwakutumia shetani wake mkuu akikuambia utoe sadaka je Ile sadaka itakua sahihi?

ClaraLyimo-gs
Автор

Mungu ypo ila vil wa hizi dini za kuwanufaisha watu trust akuna uislam wala ukristo ni njia tuu ya wajanja kupiga pesaaa na wajinga kuliwa

iam_sami