MAOMBI ROHO YA KUKATALIWA (BY Apostle Vera Muro)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kabisaa mama apostle, unayofundisha Ni kweli Mungu azidi kkufunulia maona na mafunuo mapya unazidi kunifungua sanaa namshukuru Mungu kwa kuniconnect na wewe pastor vera ufahamu wangu unazidi kufunguliwa na kujua mambo mengi ya kuombea ktk maisha yangu napenda kkusikiliza ingawa nakuwa nyuma na wakati unapokuwa live

agathergordon
Автор

Nakataa roho ya kukataliwa itoke kwangu katika Jina la yesu

BrendaAmbanimathenge-peli
Автор

niko huru sasa kwa jina la Yesu kupitia madhabahu hii ya Apostle Vera

juliethswai
Автор

Nacheka km mazuri eti amevaaje anakilemba cheupe.... Yaani uaminiki mpk unaulizwa umevaaje, ee Mungu anifungue anitoe ktk hicho kifungo mie na wtt wangu...

agathergordon