Matokeo ya uchaguzi Tanzania 2020: Kauli ya vyama vya upinzani

preview_player
Показать описание
Vyama vikuu vya upinzani nchini Tanzania Chadema na ACT-Wazalendo vinataka kurejewa kwa Uchaguzi Mkuu nchini humo.

Vyama hivyo viwili vinapinga matokeo ya uchaguzi wa Jumatano ambapo rais aliye madarakani John Magufuli amekwishatangazwa mshindi.

Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe ameeleza kuwa: ''kilochofanyika si uchaguzi ni unyang'anyi wa demokrasia uliofanywa na ZEC (Tume ya Uchaguzi Zanzibar) na NEC (Tume ya Taifa ya Uchaguzi) .''

#matokeoyauchaguzitanzania2020 #bbcswahili #Tanzania
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hivi nyinyi mnaongea na akina Nani? Sisi wananchi ndo tuliopiga kura hamuezi kutulazimisha tuwachague, .

Sasa tunawasubiri muuanze nyinyi na Familia zenu!wapuuz i kweli

rosetreffert
Автор

Hatutaki kuandamana wala nyinyi hatuwataki mpo??

fatimawazeer
Автор

kweli wachukuweni wake zenu na watoto zenu muingie barabarani

kalbymax
Автор

Ombeni Mungu wa 2025. Maandamano mtoke na familia zenu sio watanzania

tamaraeliz
Автор

Mandamano yasionakikomo utakuwa unawalipawandamanaji ili wamudu familia zao? Kwanzamukumbuke mulikiwa munakimbia bunge zitto kwenda kustopisha mikopo mbona sie atukuandamaa azabu yenu tumewahukumu kwenye masanduku yakura kaeni kwakutulia

SalmaSalma-nbcv
Автор

Nikiwa kahama
Hawa jamaa mbona wanabishana na kura sisi ndo tumechagua na nikwasababu hawana sela wao nikukosoa tu hawatoi suluhisho

siyeyetv
Автор

Tokeni na familia zenu mkaandamane, Watanzania tumeshapiga Kura uchaguzi umekwisha.
#Siingii Barabarani

pmnews
Автор

Wapizani wengine wamekubali kufanya kazi na magufuli (mtaandamana kwingine sio tz, sisi hatutawafata

mbithejustus
Автор

😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆 mtaisoma namba nani aandamane nendeni nyie tuvunjwe miguu kwa vyama ambavyo vimeshindwa hata kununua nyumba kwa ajili ya ofisi zao? Ruzuku mle nyie sie twende hospitalini hajahaha

selemankishema
Автор

Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.

temkezatv
Автор

Ila nimetambua wasomi Tanzania ni wengi ila akili ni mabi

Mops
Автор

Halafu hawa wanao ongea wote wahanga wa kushindwa

ameirzapy
Автор

Jamani mbona siwaoni niko pekeyangu road

puritymuthoki
Автор

Nyinyi amuoni tuvyoagaika afrika acheni fujo jamani magu aongoze

kisubikilozo
Автор

Kama maandamano ni ya salama na amani ni sehemu ya demokrasia. Kama chama kiliopo madarakani kitapinga, kuleta jeshi au Polisi mitaani hapo ndipo amani inaweza kutoweka. Kama askari Polisi watakubali kuwalinda wananchi ambapo ndio kazi yao basi itakuwa salama. Tupendane kama ni watu ni muhimu zaidi kuliko kupenda nchi. Angalia pointi zangu vizuri Mtanzania kwasababu tunatabia ya kubadilisha maneno ilimradi tu tuonekane sio wazalendo au wananchi wenye kupenda nchi yetu. Ulaya takriban kila siku kuna maandamano na hafi mtu au kujeruhiwa vibaya. Maandamano ni sauti ya wananchi wenye jambo au pointi zao kusikika ziwe mbaya au nzuri uvumilivu wa kuzisikiliza ni ukomavu wa demokrasia. Ukileta za kuleta unatoa picha mbaya kwetu na watoto wetu. Muda wako ukifika kupumzika ndio utaona faida ya demokrasia. Kama ulikuwa mtu mzuri utafaidika na kama ulikuwa mtu mbaya na watu wako hali inaweza ikageuka. Tupendane tutafika tu. Mpenda wananchi kabla ya nchi.

amourmtungo
Автор

Watanzania tulio wengi ni wanafiki sana. Ushindi wa CCM ulisababishwa na mambo makuu matatu. Kwa Tanzania bara ulitokana na matisho ya Magufuli wakati anafanya kampeni. Alikuwa anawatishia Watanzania kuwa kama hawatampigia yeye, madiwani na wabunge wa CCM hatapeleka maendeleo kwenye majimbo yao. Jambo la pili liliompa Magufuli ushindi ni Tume ya uchaguzi kuwazuia wagombea na Mawakala wa upinzani kusimamia upigaji na uhesabuji wa kura. Jambo la tatu ni ni uchaguzi kusimamiwa na Wateule wa Magufuli. Unategemea mkurugenzi aliepewa uongozi wa Wilaya au Mkoa na Magufuli amnyime kura za ndio. Hapa ndipo wapinzani wakapoteza kura nyingi sana maana zilitumika kura za wizi ambazo zimeshapigwa tayari. Kuna usemi Katika vitabu vya Dini unasema ni rahisi sana Ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko Tajiri kuingia kwenye ufalme wa MUNGU. Viongozi wengi sana wa Dini wameshindwa kuelezea ukweli kuhusu uchaguzi wa Tanzania. Huu haukuwa uchaguzi ulikuwa ni maigizo tu. Uchaguzi Tanzania umetumika kutumia fedha hovyo sana za walipa kodi kwa sababu tayari CCM walikuwa na matokeo. Mwisho viongozi wa upinzani pelekeni kesi zenu kwingine kwa Tanzania mnapoteza mda wenu maana mnaowapelekea wote ni wateule wa Magufuli.

rinovarthiliwi
Автор

Hatutaenda tena kupiga kura nasisi tuna shughuli zetu

ameirzapy
Автор

Kwani lazima kushindana katika mambo ya uchaguz .faida kubwa ni kuumizana na kuuwana hebu jitoweni katika mambo ya uchaguz musishiriki tena kiwe chama kimoja to CCM

hajiabdalla
Автор

watuache tufanye maisha wetu mbna wakishinda hawatutembelei wakalale tu

ahmadhalfani
Автор

It is saddening to watch. These people have not realized they lost people support that badly. Today is 2nd November, lets see ...

vikitu