MID-NIGHT PRAYER SERVICE - 7.12.2024

preview_player
Показать описание
Thanks for Supporting Newlife Prayer Centre & Church Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay updated with our latest videos. God Bless You.
Prayer Line/M-Pesa: +254 723596503/ +254 703333363/ +254 700873451
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Thanks God for this far😓😓 mau you open doors of blessings, love and unity in my home, this month i wanna enroll college and pursue my dream😥 and be succesfull to make my mum proud😢😢 i know it has never been easy for me but i have faith that i will make it..

FranciscahChebet
Автор

Lord receive my sacrifice to protect my family during this Christmas period in Jesus name Amen 🙏

omatchmaureen
Автор

Nimekataa umaskini kwenye familia yetu na magonjwa ya pressure na ulcers, ,, roho ya kurundi nanyuma nimekataa in jesus name🙏🙏🙏

MoreenKarainto
Автор

Baba naomba bwanangu akombolewe kwa roho ya usherati katika jina la yesu.

gracekaranja
Автор

Kupitia madhabahu ya new Life naidai ndoa yangu inayovurigwa na mipango ya kando Kila baraka ya ndoa yangu niliyopokonywa initetee zirudishwe.Familia yangu ikombolewe in Jesus mighty name.Amen

NellieGamimba
Автор

Kupitia madhibahu haya nataka uponyaji ndani yangu amen

MapenziKadhuwa
Автор

Kupititia madhabahu ya new life naomba nipate mume sahihi amen.

Janeth-rc
Автор

I receive it in the name of jesus Christ nizingire na damu ya yesu niondolee talaka aibu pia

SabenziaOlando
Автор

May God fight all our battles, may He put our enemies to shame, protection kwangu and my family, tufunguliwe ki afya, mapato, kazi za maana, Mungu atu ondolee ndoto mbaya limitations za maisha stagnation wachawi stagnation mauti umasikini

Nkatha-pt
Автор

Mungu tumekataa Roho ya mauti in the mighty name of Jesus

marywangui
Автор

Ameeeen pasita hata Mimi nimengi naona kupitiya haya madhabaho na omba yote minayo hitaji mungu atimize amen 🙏🙏🙏

mableminayo
Автор

Bwana yesu asubuhi ya leo naomba amani kwa kazi yangu
Na watesi wangu wateseke zaidi.. Ninaomba ata wanaoninyima amani wfutwe kazi (carol, superviser)before hii january ifike mwisho kwa jina la yesu Amen

RisperSonnia-rz
Автор

Madhabau yanasimamia kazi yangu ninayofanya maelewano Na supervisor Na manager uchovu maumivu ya mwili yanayoingilia Na kuchoka wakati Wa kazi naikemea in the mighty name of Jesus familia yangu iko mikonono mwako bwana any spirit of rejection poverty naieka mikononi mwako bwana magonjwa zote nazikataa Na naibebea imani

MildredOmwando
Автор

Hakika natamani kuomba...nimekua mvivu kabisaaa hata nikijaribu kuomba naingiwa na uchovu Tu na siombi tena....Eeh Mungu nisaidie🙏

everlynekemunto
Автор

Kupitia madhibao ya new life nyota yangu irejehe kwa jana la yesu Amen

PARTICKANGAYA
Автор

Ameeeen niongoze bwana yesu neeema yako iwe juu yetu na uzao wetu roho mtakatifuuu aniongoze jinsi upendavyo 🙏🙏🙏

MwanaHuseni-jflv
Автор

Ameeeen naomba nivuke salama pamoja na nyumba yetu natamani niwe taa kwa boma letu na popote niendapo baba

SabenziaOlando
Автор

Amen kupitia madhabau yangu ya New Life Church initetee ndoa yangu ipone, chochote changu irejezwe zote katika jina lako YESU

JosphineAchieng-sg
Автор

Ameeen naomba niwe baraka kwa familia yetu kwa mume wangu james

SabenziaOlando
Автор

Naomba kukombolewa kupitia madhibau haya katika jina la yesu

jacklinemurungaru