Mimi S01Ep36 (TV Series)

preview_player
Показать описание
Tamthilia inayofuatilia hadhithi ya bitnti Naomi katika kuanza na kupigania maisha yake kwa visa vya kila aina.

Imeandikwa na Sarah Kimario
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama kuna aliesubiri hii kama mm like hapa 🎉🎉

NasmaMruma
Автор

Tulio isubir kwa mda mrefuuuu jmn❤❤❤😀😀

RehemajumaaPambo
Автор

Aliekua anasearch kila siku kma Mimi like hapa😊

christerbayege
Автор

Tunao omba iwekwe adi mwisho tujuane hapa😂😂😂😂

witnessmtengeti
Автор

Yaani nilikata tamaaa kama nilivokata tamaa kwenye jeraha jamani hatimaye Lulu katukumbuka🎉🎉🎉 heri ya mwaka mpya wapendwa 🎉🎉🎉🎉

ValerianaMdendele
Автор

Hongera Lulu na kikosi chako chote. Mungu awaneemeshe kwenye vipaji vyenu.

oscarprince
Автор

Jaman tuliisubir sana adi sio pouwa KARIBU MIMI WA 2025🎉

veronicafelisian
Автор

kama vile nishasahau kilakitu Ila nikumuona dhaabuu aweeee asikwambiye mutu kumbukumbu uwa zarejeya😂😂😂😂😂😂😂

KingNamber
Автор

is big surprise 😅...asante kwa zawadi ya mwaka mpya ya Mimi😊q

mariachuri
Автор

Lulu jmn co vzr kutuwek mpak wengine wameaga dunia

MariamOmary-oi
Автор

Khaaa finaly khaa jamano yani eliza alijua kutuweka

donathageorge
Автор

Nilishasema hili ndio series tamu kama nyumba ndogo ever ❤❤😋😋

saidmohd
Автор

Da lulu usitutese wenzio kwa kutucheleweshea tunaipenda sana hii🎉🎉🎉🎉 Asante dear❤

queen_annah
Автор

Ety Mambo ya maana n kuchoma mbu au kusamehe watunyonye damu❤😂😂

TheleziaMwandesile-nztd
Автор

waoooh hatimae baada ya mda mrefu asanteee San lulu

GraceMagala
Автор

Tuliosubiri tupooo... Ahsante kwakwel❤🎉

lilianjohn
Автор

Hadi imenipotelea ila nitashikanisha tu😂😂baki mimi mnatutesa

RuthNyongesa-mecx
Автор

Tangu lini mbu ikasamehewa surely babake Naomi 😹😹😹😹😹, , ety tuwasamehe mbu waache kutunyonya damu 😂

SharonEliseba
Автор

unatubania mama G, muendelezo piliziiii

NiyonzimaDidibel
Автор

Yaan mmetutesa sana jaman tumeisubir sana ❤

butterfly-zs