THE LIES FULL MOVE

preview_player
Показать описание
Join me at Pocket Broker:

Enter promo code KAKOSO100 at registration and get a special bonus from me!

Jisajili kwa kuingiza code kakoso100 na uweze kupata bonasi kutoka kwangu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

The lies, ni movie nzuri, na waigizaji wote mahodari, mungu awabari, na awazidishie nguvuu katika kazi zenuuuu

NagibKhamis
Автор

Kipara Wana Man 😂😂 much love bana uko sawa

philipadunga
Автор

kipara is the best ...na kingereza chake....kAMA UKO NAMI GONGA LIKE

mutetezilmusicboys
Автор

Aliye elewa hii movie inacho maanisha haezi nyimana likes ❤❤❤❤❤ big up sana kakoso❤❤❤❤❤

MwangiraniElvis
Автор

Kipara nukubali kazi yako sana, Bik kaka Mbwela, Dada Mwas unapendeza kuwasahau ndugu zangu Zumba na Sengo

danielamakalu
Автор

Director kakoso kwanza asante kwa kazi yani hii kazi ina funzo lakutosha ambalo tunasthik kujifunza pia nimefrah una idea ya pke yko ambayo umefkiria kwa sbbu kwanz story ni fupi tu ila imeanza uzur nkumaliza vizur hmna alolalamika kua story haiyeleweki au vip tunkushkur cna vjana wako mngu azid. Kukulinda

BLVWETEONLINETV
Автор

Sema nyie wamba mnajua mnajua tena 🎉😂 bravo and more congratulations

jeckasshadrack
Автор

DIRECTOR KAKOSO, Subscribed because your videos are so much fun!

IOSALive
Автор

Mwasi ni aina ya wale WAREMBO ambao ni NATURALLY BEAUTIFULL

kassongokittapa
Автор

Movie kali sana kakoso chukua 🌹🌹 yako ila kipara zamu hii urud kulee best friend ukasome some

DatiusRegasila
Автор

from kenya big up kakoso alf kipara amenifurahisha anaongea kizungu

GeoffreyMusau-mr
Автор

Nawapenda sana na movie zenu nazipenda sana

niyatwesemethode
Автор

❤❤Mnapendeza sana...Hapo behind the Scenes...

magataimwita
Автор

kazi safi sana director, ila kipara na kingereza chako kapeleke huko mstuni

bpongoi
Автор

Olo in olo ila kipara nae huu umombo sjw kausomea wap wait my family sister and braza😂😂😂

rehemamutua
Автор

hahahahahahh uw uw uw kwamba uno la sogojo

KanyerereThomass
Автор

Hii group inafanya makubwa movie zenu Kali 😅😅

teargas
Автор

sikujua kakoso ni kaka ya mwasi, nawapenda sana

damarisnjomo
Автор

Kipara nimependa unavyo omba msamaa kwa kakayako mh.. mwasi uganga unaendakufa sasa😂😂😂

fatumaandrea
Автор

kakoso mungu akubariki sana na kipaji chako na akupe afya njema zaidi

SakinaMuba