S2KIZZY afunguka DIAMOND kumsaidia baada ya kuvamiwa na vitu vyake kuharibiwa, kupata haki yake

preview_player
Показать описание
Creez Favors anazungumza na producer #S2Kizzy baada ya hivi karibuni studio yake kuvamiwa na wasanii wake kupigwa vibaya
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

S2kizz Piga kazi bro so Diamond yupo na wewe mwanzo mwisho.

heriholder
Автор

Aaah, its been long since i saw notifications... Ata i thought maybe SNS waliniblock 😂 😂 😂 😂 😂

pendomgandi
Автор

Creazy bado hamja tueleza, mlikuwa wapi siku ya 5 sasa hii... mtowe maelezo bwana...
Make mie niliwaza nili unsubscribe bilakujuwa mpaka nikaenda check YouTube

thelonewolf