#TAZAMA| MSTAAFU KIKWETE KUFUNGUA MAONESHO YA UWEKEZAJI NA BIASHARA PWANI, RC KUNENGE AFUNGUKA

preview_player
Показать описание
Rais Mstaaafu wa awamu ya nne Daktari Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kufungua rasmi maonesho ya tatu ya wiki ya uwekezaji na biashara mkoani Pwani octoba 6 mwaka huu yanayotarajiwa kufanyika kuanzia kesho katika viwanja vya maili moja Wilaya ya Kibaha.

Akuzungumza na waandishi wa habari mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amesema maandalizi yameshaanza ikiwa ni pamoja na ujenzi wa mabanda kwa ajili ya maonesha ya bidhaa na kwamba zaidi ya washiriki zaidi ya mia 200 wamedhibitisha.

Follow us on:
FACEBOOK;

INSTAGRAM;

TWITTER;
Рекомендации по теме