BABA WA DIAMOND: MIMI SIYO BABA YAKO / UMENIVUA NGUO QUEEN DARLING

preview_player
Показать описание
BABA WA DIAMOND: MIMI SIYO BABA YAKO / UMENIVUA NGUO QUEEN DARLING

Stay connected na Kaskazinimix Mahala pekee unapopata Habari za Uhakika Usisepee
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Neno Moja kwa Baba wa Diamond !!! / Ushauri!!!

Kaskazinimixtv
Автор

Kuna Watu Mungu aliwaumba Kuwa masikini wakalazimisha utajili wakapoteza familia zao mzee Tangaza namba tutoe Michango yetu wewe ni mtanzania mwenzetu

zaitunintiaz
Автор

Mzee Abdullah wapotezee Wanakuenjoy zima mike

mamabray
Автор

Pole mzee yatapita2 hayo Kuanzia leo namchikia diamond

khayratmhina
Автор

Mm namshauri aachane naye aendelee na maisha yake

akwilinamtafa
Автор

Pole sanaa baba. .mungu akuzidishie subra.

meedaafarai
Автор

Aibu mtoto mwenyewe afanana na babake makubwa. Grow up diamond

hellenwakiomwero
Автор

Daaah naumia Mimi mnavyo mfanyia baba jamana pole baba angu kuzaa si kupata

fatumakimaro
Автор

Diamond anatamani kukusaidia sana ila sheria za freemason azimruusu

shaloboy
Автор

pole sana mzee wetu Abdul juma toa number kwenye midia mbalimbali tukusaidie icho kidogo Ulicho nacho watanzania tupo tayari na achana na hao wanao wapuuzi ambao awaexhim wazazi mungu atawafundisha

djgmp
Автор

Baba usiteseke sana hingekua siwewe d asingekua wachia mungu akulipie

tenetene
Автор

MIMI hadi sasa sina Baba wala mama babayangu nilimzika miaka 9 nyuma mama yangu miezi 5 nyuma nilitamani nilee wazazi wangu na nilijitaidi kuwajengea nyumba haijaisha wamekufa roho imeniuma sana sana husia kwa vijana wenzangu mzazi ni pepo yakwanza kama islamu mzuri mueshimu mzazi ndio kila kitu huo ndio nasaha kwa vijana wezangu wote.

mussaremigius
Автор

mungu atakufanyia wepes ila mwanamke mwenzetu unafel bhana

salamayusuphu
Автор

Mwenye RADHI hasumbuki. NASEEB DIAMOND mlaani shetani Na umliwaze babako, itakavyokuwa BABA ni BABA utajiri ni mtihani Na Umaskini vile vile ni mtihani MUNGU humpa amtakae Na akamnyima amtakae pia.kuna leo Na kesho bro ...

thierryt
Автор

Mzee mpaka chozi lina mlenga pole sana baba mungu yupo nawe

salisali
Автор

Baba usijali usimuombi binaadam hata kama watoto wako muombe mungu basi a Hana nao wote Hao tumekufaham sote iko siku watakukumbuka tu mimi nakuombea mungu akuponyeshe Sawa baba inshaallah Mungu mkubwa usife moyo mwanao atakukumbuka tu 🤲🙌

alshabje
Автор

Pole saana mzee monyezi mungu atakusaidia

majitube
Автор

Yani nasseb diamond pole Sana kwa maneni ya babaako subhanallah mungu akusamehe ww hata kama huyu mzee anakosa kwako au kwa mamaako ww sio wa kumuhukumu ungeacha hukumu za Allah subhanallah wa taallah husbiaAllahu wa animal wakil

سراجحميدالبوشيكلماتنباتمرمرةمر
Автор

Zubeda mchukue mzee ikiwezekena mana ana nyanya sika sana

munam
Автор

Usipende kusaidiwa mzee...wewe mwenyewe ndiye wajidhahalilisha.. saa yote wajieka magazetini..Mungu akusaidia kila siku mshukuru Mungu .na umwamini Mungu kila siku sio mwanadamu. .amtegemeaye mwanadamu amelaaniwaa

agneskadzo