RAIS SAMIA AFUNGUA MILANGO YA FURSA / UTALII WA TANZANIA KUKUA KIMATAIFA

preview_player
Показать описание
--
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshoot filamu ya kutangaza utalii wa Nchi ya Tanzania katika kipindi maarufu cha Royal Tour, kupitia kipindi cha Dar24Media utafahamu kwanini ni Rais Samia na si mwingine lakini pia kwanini Tanzania na sio nchi nyingine yote hayoutayapata kupitia kipindi hiki.

Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.

JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News

#cnn#bbc#royal tour
Рекомендации по теме