RAIS ENG. HERSI AKIONGOZA VIBE NDANI YA 'DRESSING ROOM' BAADA YA KUMSHONA SIMBA SC

preview_player
Показать описание
#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tukishinda nikwaajiliya Mungu wetu. Asante Mungu kwaushindi wetu uliotupa🙏🔰🔥🔥🔥

mrrockboy
Автор

Wow hongera Sana wanaume mmejua kutuheshimisha kongole Kwa wachezaji wetu ila chama ni mmoja💛💛💚💚💛💛💚💚

PekweIddy
Автор

Safi sana diarra umeupiga mwingi mwananchi mwenzangu safi sana timu yote kwa ujumla nice💚💛💚💛💚💛💛💚💛💚👍

SesiliaSamwelkamau
Автор

Ile save ya mwisho ya diara akidaka mpira wa mukwala was an amazing 👏 screenprotector 💥💥💥

Rukaka_jr
Автор

Hivi maboss zetu wetu huko makazini wangekuwa wanafurahia mmafanikio ya vijana wao km Eng. Hersi wanapungukiwa nini. Kuna maboss wanajiona km vile wao ni special sana. Kudos to Mr. President

hon.fahadijumalikwena
Автор

Hii yanga unafungaje yanga bingwa daima mbele nyuma mwiko 💛💛💚💚💯

fatmaomar
Автор

Asante mungu Kwa baraka zako umetufanya tushinde

patridabernard
Автор

Nmefrahi sana kwa ushindi ila binafsi nafurahishwa na Alfan ngasa kumuona akifrahia ushindi wetu inaonekana n mpenzi kindaki ndaki kwa tim yake ya young african mungu walinde wachezaj wetu anaefikiwa n jkt tanzania

juliusjkalela
Автор

Hongera kwa wachezaji wetu benchi la ufundi pamoja na viongoz wetu katika mchezo wa leo daima mbele nyuma mwiko 🔥🔥🔥🔥

ntanilanjema
Автор

Yanga tusipokufunga utajifunga sisi haoooo💛💚💚💛

sahraabdallah
Автор

Tunashukuru kwamafanikio tulio yapata Alhamndulilah natushukuru kwa wachezaji wetu kwakumaliza salama Allah tuzidishie zaidi Inshaallah

rukiakyaka
Автор

Asanteni wapendwa kwa kutupa furaha leo 🎉🎉

Carolina-smzt
Автор

Yaani ilkuwa sinaa amani hongereni sana 🎉🎉🎉🎉bwachezaji kwa kupambana nia team

aminakhamis
Автор

Huyu mzize anahitaji ulinzi jamani hili vibe siyo poa jamani mlindeni🎉

bennamush
Автор

Tunamshukuru MUNGU Kwa Ushindi Huu 🔰💚💛

apostleisaacnyika
Автор

Hongera Sana wachezaji wote pamoja na benchi la ufundi

rashidnzunda
Автор

YANGA AFRICAN'S, MKIONA NGOZI IMEWAMBWA, MJUE MNYAMA KALIWAAA!!!!

hamisishabani
Автор

Alihamdulillaah mungumkubwa nimefurahi sanaaa

ismailseleman
Автор

Mzize drogba mtupu now linakimbia ananguvu anatoa assist kabadilika sana zamani alikua anaforce kufunga now anacheza kitimu

James-szec
Автор

Watoto wameutaka wameupataa safi sana tim kubwa inaamuwa kikubwa

ManjaHisani