Balaa! Nandy na Billnass waonesha mjengo wao mpya wa kwanza kuujenga tangu wafunge ndoa

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ongera sana bilinasi na mkeo Nandi Mungu awabariki

rukaiyaramadhani
Автор

Yaaan nilivyo shangaa na jumba zuri hata hio caption MashaAllh😍, ..Allah awalinde na husda na hasad🤲

mackysuphian
Автор

MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah hongereni sana, sio jambo dogo,

halimamghana
Автор

Hongera kwa ma engineers walio design na kujenga...proud of you🎉🎉🎉❤❤❤

frida-oikw
Автор

Waooh hongereni sn vipenz vyangu wana Ndoa Billinans and Nandy Nawapenda mno Mungu awalinde❤❤❤🎉🎉🎉

LoveAron
Автор

Mashalah mashalah mashalah Kila la heri

jamilaathumani
Автор

Hongereni kwa kweli I nyumba ni Nzuri mno

StarMerinyo
Автор

Mungu nipe mume mwema mimi mwenye future 🥰🥰

FelistersMejumaa-xige
Автор

Hongera sana kweli ndoa yenu ina baraka

MsAggie
Автор

Video tatu kwa mpigo sipendi naona inakua mbaya

MgasaEmanoeli
Автор

Congratulations Nandy na billinass, hayo ndio maendeleo mazuri

Marie-mmxq
Автор

Na miee nimpate wa kujenga nae😂😂😂😂 Hongera nandy na bilinasi❤❤❤

Shadia
Автор

Haya mwijaku asitoteee mchesu kujeniehapa manyoko nie 😂😂😂

PaulEbby-nr
Автор

Hivi ni hizihizi buku 2 zetu za viingilio vya show au kuna biashara zingine behind!!😊

IbniAbbas-yzkt
Автор

Ss mwijaku aje aone nyumba bonge la spice

hanifamziray
join shbcf.ru