Namna ya kuset AUTO SCRATCH bila kutumia map katika virtual Dj 2018, 2020, 2021 and 2023.

preview_player
Показать описание
Kwa maujanja zaidi kuhusu virtual DJ's just call me on +255 765 502 423. And be together katika group letu la Telegram #Maujanjatech255 link

👇👇👇

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Unajitahid scratch dna make sure Hot cue One haigusi iyoooo margin ya deck's separation
Ndio it's sound vizurii
Piaaa modifying your DNA
Ziwe tofauti tofauti
Like baby scratch
Crub

ErickKasongo-nhyi
Автор

Uk vizuli kak yang sas hun group ra WhatsApp utuwek hap maan hap inadusumbuw

jeromenimbona
Автор

Naitaji kujua namna ya kuseti keyboard virtualDj 7 kwaajili ya kupiga beat singeli

sudymwambiki
Автор

Namba unitumie hiyo map maana scratch yangu haikubal

IsiraelNyankena-vmyh
Автор

habari, elimu unayotoa iko vizuri kwa sisi tunao begin kujifunza maujanja,

je link ulivyosema unaiweka haipo je tunaipataje ?

frankmtenga
Автор

Bro sa zita come aje ama nita add aje juu nimelink but sijazipata bado

KatanaJohn-msqr
Автор

Mbo iyo map telegram nashindwa namna ya kuipa?

sudymwambiki