PRODUCER Shirko Alichomshauri Aslay Kuhusu Kubadilika Kwenye MUZIKI | 'Wanataka Kukutoa Kwenye RELI

preview_player
Показать описание
PRODUCER Shirko Alichomshauri Aslay Kuhusu Kubadilika Kwenye MUZIKI | "Wanataka Kukutoa Kwenye RELI!!"
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Abadilike bana mashabiki tushaanza kuchoka

wilsonwizzo
Автор

Ako sawa.... You change what you are doing now when what you are doing at the moment is not productive.
Mob love from +254

ladyaisha
Автор

Abadilike awe wakijani kaza ivo ivo baba moza

asiazuberi
Автор

mziki wa ASLAY siyo siri karibu kama vile nyimbo zote zinakaribia kufana kuanzia melody na hata beat hivyo basi mabadiliko ni yamhimu sana.

bahatis.mbishi
Автор

Muhimu kuelewa msg ndio maana Ngoma za zamani mpaka leo zinapenda

abdullay
Автор

Abadilike Kiana aina arudy kwenye natamba nyimbo Za kuchezek

brightonvalentino
Автор

Aendelee kua hivohivo ambao wanamapnz mema nae watabaki kua na wàla asibabaishwe msimo wake ndo utakao ju mshabiki walioko kwenye njia yake

isackidonidon
Автор

asly kazana ndugu kunawatu wanatamani uwanguke ili wakuche piga kz zako mdogowagu tuko nyumayako

amisisaid