Njia Ya Kukuja Huku Na German Opportunity Card| WORK VISA | Karibu Germany 🇩🇪

preview_player
Показать описание
#Germany #GermanyVlog #HukuGermany #TheRuihFamily #TheWajesusFamily #IamMarwa #DeeMwango #MichelePonte #NicholasKioko #HukuYukei #ibrahimOnami #HukuYues #KenyansInGulf #KenyansInQatar #KenyansInDubai #KenyansInAmerica #NebzAndNyathira #DianaBahati #ItsNasto #ChefMatiko #IamMayunguno #TheePluto
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

As a kenyan living and working in Germany. You need to be really learned (Ausbildung) ya a real qualification in a job . But kama our kenyan Nurses walipekwa England waka fail in English. Mtaweza Germany and German rules and regulations . Its a big lie 😅

hildawambua
Автор

Me husema na ntarudia...mtu asiwekee experience yake kwa kilamtu, just because you find it hard it Europe c kilamtu atakua ivo. Thans bro

mimbamimbz
Автор

Hapo kwa skilled, age na lugha ... haha wacha niipe video a like ❤

nai
Автор

Wakenya kitu ina wa angushanga Europe ni drink driving wana kuja hapa na Tabia za Kenya wa kunywe ka pombe ni maji! These is a serious offence hapa you will loose everything just like that! Ka mbali na pombe na ukinywa use public transport period! Or throw your life away I have seen many characters loose themselves hapa from a good job to nothing

bongasasa
Автор

Alafu taxes, zinadrain watu kudrain....ata kusave ni ngori...Europe life ni hard...thus why hua nasho watu ukibahatika unapata just ata kama ni 70k per month in kenya, haijalishi kama wewe ni bizna person ama umeandikwa usikama kusettle in Europe...but kama wewe ni hasora kuja tuteseke Europe

joyasiko
Автор

*_Thanks man for the information day in day out..kudos_*

Rovex.
Автор

This world kila mtu na bahati hata ikiwa niko 40s na ninaishi bedsitter naniko na furaha nashukuru Mungu

patriciawaisaac
Автор

What about non graduate students who have skills in Tech?

steveosore
Автор

Hi Rodgers, i had TB like 10yrs ago and healed long time ago, can it affect my chances of relocating to Germany?
I'm eyeing Student visa this year.
Thank you.

TahjNjoka
Автор

Now.. Since you aired this thing 10 months ago and now we are heading to the proverbial "November" did Ruto map his lies to this Opportunity Card? Because they are saying process ni ile ile!

wago
Автор

Where to get 1.7M from? Na hapa hujaweka flight, travel insurance, application fee😢

doriskerubo
Автор

Rogers hapo kwa Germany language pekee is a No its both English $ Germany that's in either the two

patrono
Автор

Hey can you help me, I already have a German B1 Certificate

MasudiMwalimu
Автор

Wajerumani ni wakora wewe, watakupea chancenkarte alafu ukifika ujerumani utafute job mwenyewe na huwa ni ngumu sana kupata kazi na ukipata hiyo kazi kupata vibali vya kufanya kazi huko foreign office kupata appointment ni shida na uwezi anza kazi, mwisho wa siku hii naona kama ni scam hivi ya wajerumani kupata pesa kwenye fees za visa na vibali na kupata taxes

atomphoton
Автор

Sas kak yangu watu wa burundi inawezikana 😮😢

berthahakizimana
Автор

Good morning brother please can you help me guide me i want to move to German can you help

NokuthabaTshuma
Автор

Naaa hii work visa ya Germany inachukua siku ngapi rogers

mukhtarally
Автор

Watu wa Longa tunakuja na hii Opportunity card

alienalienmusic
Автор

Kama mtu anatafuta Ausbildung wanaeza kupea time ya kutafuta ukiwa huko au lazima upate contract ndio upewe visa

mercyachieng
Автор

Naukiwa na diploma je I have a diploma in nursing

saumuhamisi