MZEE MWINYI ALIVYOWAACHA HOI MSIBANI/ASIMULIA KISA CHAKE 'NILIKUWA NABEBA VIATU BEGANI ILI VISIISHE'

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yaani Napenda Sanaaa Khutuba za Huyu Mzee wa Ruksa
Maana Nahadisuwa Sana na Baba yangu Huyu Alikua Rais Bora Sana Tanzania Aliipa Ruksa Kwa Vile Vilivyo Fungiwa Au Kukatazwa Watu Wasiwe Navyo

magomakabanja
Автор

Jamani mzee mwinyi
Ana maneno ya hekma

skjjsj
Автор

Leo tarehe 10/03/2024 ndio nimeelewa kama Hayati Mwinyi alikua hachekeshi lakini alikua anamaanisha. Na hii ni baada ya kufuatilia vikao vingi vya kwake Mzee Rukhsa

sumbulan
Автор

Huyu babu nae ana story za kuchekeshaaa😆😆

aymankhadija
Автор

MANENO YANA MAANA SANA AYA KWA VIONGOZI

abiudkarume