Diamond Amtaja Baba Yake Mzazi 'Huyu Ndiye Baba Yangu '

preview_player
Показать описание
Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.

FOLLOW US
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

We jamaa noma sana ila maelezo yako yanatosha kuwa mzee abdull alikua na mihela hakumjali mama apo tu tayr kwa wenye upeo ni hasira na chuki amabazo unataka kumlipa mzee coz hakumsaidia mama

hajiharuna
Автор

Sandra alikuwa javi la (majogoo) fukuza kamata chomeka (waaaa) Ni noma na kule Zenji yupo mzee Pandu anadai ndio mtoto wake huyo (Nasib Pandu).

sasha-ritf
Автор

Ukweli ni 2010 ndipo ulipangwa umkane baba yako sema kweli mondi.

sadikilumumba
Автор

Wewe na mama yako mnafuata masharti ya MASHETANI waliowapatia utajiri. Laana hiyo. Mtaiacha dunia na lila kitu. Just a matter of time. Yuko wapi Kanumba? Ginimbi wa Zimbabwe?

haarunsaidabdillahi