Ukombozi by The Shekinah Singers

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimebarikiwa na wimbo huo mtamu. Natamani kusizikiliza nyimbo zingine zenu. Neema ya mungu i juu yenu.

alexsagero
Автор

Joyce Joyce Joyce Joyce Joyce Joyce sauti yako mzuri sana nimeipenda ....kongole sana wanakwaya Mbarikiwe na BWANA

apollobupolo
Автор

Wooow it's amazing, amazing grace Mungu awabariki Sanaa.

ramyramy
Автор

Waoooh nawapenda bure na nyimbo zenu zinanibariki mno Barikiweni sana natamani kuziona nyimbo nyingine mlizo imba tofauti na hizi mbili

agnessahia
Автор

Wow wow wow.... Beautiful voices from above. God bless you lovely pals. Watching from Kenya. Wapi likes za vijana Hawa....

masekete
Автор

mbarikiwe sana mnapatikana wapi jaman nimependa jinsi mnavyoimba pia hongera kwa mwalimu wenu

ibrahimumba
Автор

Na Mwenyenz Mungu awafikishe mbali zaidi ya hapoo viwango vingineee, , , mpka natamani na Mimi nije kuimba nanyi jamaani.

dorcaschris
Автор

Good singing voices Smart dressing Smart be blessed abundantly 🙏❤️

stellamosota
Автор

Asante watoto ya mungu munanibariki sana na hii wimbo

sophianabintu
Автор

amen asante sana watu wa mungu na wapenda Sanaa mbalikiwe saidi

paschaljoseph
Автор

Barikiwa sana daah mpaka raha moyon mungu awabarik

godfreymajoa
Автор

Aaahaaah Hyo alieimba vesi ya Kwanza kanikosha Aseee kazi nzuri

ggmmjasiliamalionline
Автор

Mmenikumbusha Choir Yetu Ukwata Benjamin W. Mkapa High School Miaka 2007 mpaka 2012 ilikuwa 🔥🔥🙌 Glory

Jeff_Tz
Автор

Jamani Mungu wa mbinguni awabariki sana...nimebarikiwa sana na huduma yenu

faithmchawa
Автор

its always a blessing listening to you guys...this is a song that keeps me going. my prayers to you all is that you may never lack while preaching the gospel

rabinnyambaka
Автор

Napenda sana huyu wimbo ukombozi wetu ni kwa neema yake Yesu be blessed 💗💖💞🙏🙏🙏

shaniachanceline
Автор

mungu awabariki na ujumbe uendelee kuwafikia watu Wa mataifa 🙏🙏🙏🙏

officialjclever
Автор

Amina am blessed na huu wimbo, barikiweni wanakwaya wenzangu

estherkamau
Автор

You guys are awesome, and you're so beautiful and handsome young people, I love 💘 Africa 🌍.

kenhiggs
Автор

safii sanaaaa
kijana Tunzo na woteee Mungu awabariki

rojasmussa