Ujenzi wa Soko na Stendi ya Kisasa Dodoma kukamilika Sept 30

preview_player
Показать описание
Waziri Jafo ajionea maendeleo ya Ujenzi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

yaaaa kweli serikali yetu iko juu, sdhan km tunaitaj serikal nyingne zaid ya hii

sylasoswald
Автор

Haha mnaonaje magu akakaa miaka Mia kama china vile

saidasimba
Автор

Hongera sana Halmashauri ya jiji la Dodoma.
tunaomba msimamie weledi katika utekelezaji wa miradi hii.hasa thamani ya pesa vs ubora wa kazi.

freddymello
Автор

Asante kwa video ila tuwekeeni nyingi sie tulio nje ya nchi tuweze kuona maendeleo ya nchi yetu good job jafo raisi wangu ajae

misschagga
Автор

Mh. Jafo, wewe ni waziri wa mfano ktk Baraza la mawaziri

willygidion
Автор

Kazi, nzuri pongezi kwa serikali kwa yote mazuri

eddechriss
Автор

Iyo mbn ni kama cjaona vile, jmn Tanzania itajengwa na watanzania

micamathew
Автор

Compuni ya bohora wanafanya Kazi safi sana, mohammedi Builders Oyeee, Rais Magufuli Oyeee. CCM oyee

abbashuseinenayatali
Автор

Kasema hii Tamisemi sio kama ya miaka ya nyuma, kapiga kijembe serekali zilizopita, kikwete na mkapa full uzembe na wizi. hahaha hapa kazi tuuu mpaka kieleweke.

allymapinda
Автор

kazi invur wa eshimiwa jpm hapa kazi 2

hassanmpwepwe
Автор

JPM yupo juu anafanya kwa vitendo.Kweli Dodoma imekua jiji

onaelymbatiani
Автор

JPM kiboko yao, zamani tukikuwa tunaambiwa serikali haina hela, nchi imepigwa sana hii, kila kona ya nchi miladi yoooote inatekelezwa, safi sana Mh. Rais.

deusmauka
Автор

Nimependa saaana kwa kutumia wakandarasi Wazawa... WA Tz.. Hivyo kukuza makampuni ya Ndani

engineerrihebamh
Автор

Mtakunya mavi, hapa kazi tu, nyie vijana naona kasi ya huyu mzee magu, kwakweli kijasho kitawatoka, damu zenu zinachemka, hakikisheni usiku na mchana kazi inapigwa mkabidhi ufunguo kwa wakati.

mayrfrimi
Автор

Hii ndo awamu ya 5 thanx 👏 JPM na kamati nzima ya uongozi

savian
Автор

Katika vichwa vya JPM huyu waziri hakosi

peterkailembo
Автор

Mheshimiwa na barabara ya mbande, kongwa Mpwapwa vipi? Mwaka wa tatu sasa

saitotisaitoti
Автор

Tatizo ni kwamba miradi mikubwa karibia yote dodoma inafanyka ihumwa, hilo swala litapelekea msongamano mkubwa miaka ijayo, miradi mingine ingejengwa maeneo mengine dom bado kuna maeneo mengi tu..

dennismawolle