JEMEDARI alipuka, aitaja YANGA kwenye kipigo cha SIMBA | AZAM FC 1-0 SIMBA.

preview_player
Показать описание
#simbasctanzania #yangasc #azamfc #yangatv #wasafimedia #htmnews #hajimanara #mpenjatv #mpenjatv #yanga #subscribe kwa taarifa nyingi zaidi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wanasimba tutulie ipo siku hizi porojo zitaisha insha allah

Emedroadtocanada
Автор

Leo imekuwa kimya mpole jemedari ingekuwa yanga ingekuwa sauti yakusikika balaaa makolo ubingwa mtausikia tu kwa yanga

misojibahati
Автор

Ni kweli kabisa mfano mkude mzito kukaba hawezi speed hamna hajitumi viongozi wetu bado wanaendelea kuwalea lea tu ifike mahali wachezaji wengine wakatafute changamoto sehemu nyingine mbona kagere kaondoka wawa kaondoka iweje wao bado wapo kila wakati nyoni anasaidiwa na inonga viungo wakabaji wako wapi uvivu mtupu halafu sisi mashabiki tunamlaumu kocha viongozi nao wanazengu kuna wachezaji wanawalea

omarmussa
Автор

Malaya jemedari anaongea Kama anao hivi

hashimsaid
Автор

Kwaubaya alionao kwa yanga hstofanikiwa hata huko kwa simba

omarabdallah
Автор

Huyu jemedari haisemi vibaya hata siku moja maana anatarajia aijira kule simba

rashidjuma
Автор

Nyoni ametucost acheni kulea lea jamani ;kiungu Kama nunungunungu amechoka

drallan