Azam TV 10 Daima Damdam - Official Theme Song

preview_player
Показать описание
#AzamTV10DaimaDamdam #10DaimaDamdam #AzamTV10Damdam #AzamTVBurudaniKwaWote
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Niliitafta san hii nyimbo ad nkawapgia Azam kuomba ni2miwe huu Wimbo, , naupenda xan huu wimbo❤

feihusein
Автор

Nakupenda saana aka ka Mwimbo ka Azam TV

ErnestFomo
Автор

Amazing song!!congrats Azam media 10 daima damdam

hundahazeze
Автор

Huu wimbo ndio wakumbembelezea mwanangu na anamiez 6 Yan ukiimba tu hta Kama analia akanyamaza kabisa

HappynesNoah-sw
Автор

Ngoma kali kama siyo ya tangazo bhana ❤❤❤

timothysalehe
Автор

Azam nauliza ivi muko sawa na hasani mwakinyo

habibukessy-pfxf
Автор

Kumi daima my TV love from #Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤🇹🇿

irambonaericwamakamba
Автор

Nitaendelea kuusikiliza kila mara yaan

ramlamkumba
Автор

Ningependa muwe na clip fupi za habar kuhusu michezo kama dakika 5 hiv itaongeza watu kufuatilia azam tv clip zenu ndefu sana....asante
Azam tv burudani kwa wote

kisahilakasela
Автор

Naupenda kulko nyimbo zote saiv sijui kwann

edwingwesso
Автор

Dah bonge mojakanyimbo napenda sana kuusikiliza kilamala

MohammedAbillahi
Автор

Tuungane wote tusitengane burudani kwawa wte

yangamisiwapend
Автор

🤣🤣🤣🤣🤣hingoma nime isikia kwenye redio nika bidi niitafute youtube maana imeni bamba kama sio nyimbo ya tangazo

gastonjoseph
Автор

Naombeni Namba za Azamu jamani nataka niwapigie maana kila nikitaka kulipia naambiwa
BILL FAILED _Failed to Fetch commission account details

GodlistenAdriano
Автор

Naupenda sana huu wimbo jamani natamani nipate audio yake

gloriosatemba
join shbcf.ru