EE BWANA USIKIE - J. MGANDU

preview_player
Показать описание
Jina la wimbo: EE BWANA USIKIE
Mtunzi: JOHN MGANDU
Organist: PETER PERFECT
Studio: UCHAJI MEDIA
Waimbaji : UCHAJI MEDIA
Usisahau kusubscribe, kulike na kucomment
ASANTENI.

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kati ya version zote this is the best Hongereni sana wanakwaya pamoja na mwalimu wenu. Kaka kilangavana umetuchezea kinanda safi like apo kwa ajili ya kumsifu mungu❤

alvinallan
Автор

Napenda kuwapa pongezi waimbaji lakini kumkumbuka kwa sala mtunzi wa wimbo Dr. John Mgandu aliyekuwa nguli wa mziki enzi za uhai wake!

florencesitima
Автор

Mungu akuwezeshe kuendeleza karama uliyokujalia katika utunzi na uyimbaji mtumishi

LucianDevenus
Автор

Kaziii nzuri wapendwaa munguu awabariki sanaaa

RebekaLutego
Автор

Napata amani sana kila ninaposikiliza huu wimboo…mbarikiwe sana

JacklinMallya-uetx
Автор

AMENI. NIMEBARIKIWA SANA NA HUU WIMBO.

EdwardMichaudHospitalApproval
Автор

Ninaposikiliza wimbo huu huwa nakumbka mbali Sana barikiwa Sana wakatolik wenzangu, mungu yupo amen

LeonardElias-ns
Автор

Hakika nitamwimbia bwana mpaka sikuyangu ya mwisho wimb wangu niupendao hata nikiwa na magum nayasahau

veredianacharles
Автор

Nimefarahia utulivu thanks so much uchaji media happy to see Mrs alex

andreaphilipina
Автор

Iwish am one of you guys nimeipeda sana

jamesmumo
Автор

Nimeuona huu wimbo ticktock ukanibaririki sana🎉

valleyrocktravellers
Автор

Muziki wa wa kutoa nyoka pangoni. The best quality version of this song. Very sweet!. Congratulations!

timdovecool
Автор

Mungu siku zote anafanya kwa wale Lio tayari mungu aliwatumia ipasavyo nyimbo inanguvu kubwa ya mungu

MagnusmaembeMaembemagnus
Автор

Nmeifuata Toka TikTok mpaka meikta mm ni Anglican but I proud some songs in catholic church

jacobkilagalila-gumh
Автор

Huu wimbo kiukweli unatia nguvu ya neno

SurprisedBorderCollie-lsmq
Автор

Kazi nzuri. Inazifanya tungo na nyimbo za wakongwe wetu kutosahaulika au kupotea

dominickalan
Автор

Hongereni sana, ni utukufu juu ya utukufu 🙏🙏.

martinmsendo
Автор

❤hakika niusikiapo wimbo huu nafarijika sana wapendwa wangu❤❤❤

GabrielDevid-rq
Автор

Nilikuwa mwanza mahali flan nikawa naupiga hii wimbo kwenye sherehe ya jmuia kila mtualikuwa hataki uishe ulirudiwa mara kama zote hongeren sana mwl gashile❤ na kwaya mmeupiga mwingi AMiNA

Silacygasper-pl
Автор

Asanteni sana, Utukufu kwa Mungu juu Mbinguni

bintibeaty