'MWAMBA HUYU HAPA': JUMA KHAN ALIA NA WANAOTUMIA NENO LAKE, WAHINDI WAMEMCHUKUA 'NILIWADANGANYA'

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nakubali sana juma khan single movie za zaman endelea kutupigia nimeiyona qahar piga na mohra .

HusseinAbdallah-zf
Автор

Bado Dj Mack acheche production

Talented sn Hawa jamaaaa

emmanuelchilimo
Автор

🇧🇮tunakupenda saana mzee!!
Fanya uje Bujumbura siku moja!!

rushboyofficial
Автор

Uko juu sana mzee baba, wakati ule ulikuwa ni wewe na lufufu, nakukubali sana, hawa wengine wanajikongoja

lucasndaki
Автор

aminia juma aina kupoa kazi nzuli mzee ✍️✊✊🇹🇿🫶🙏🙏

starjay
Автор

Nampenda sana' Juma Khan' uwa naelewa sana' utafsiri wake unaelewa vizuri' ananivutia zaidi anavyo taja wadhifa wa wasanii husika' Ana urefu wa futi ngapi' anaongea lugha ngapi' amezaliwa wapi' pia uwa ananifurahisha sana'. nakupenda sana' Juma Khan' Chikongwe

salamanauthar
Автор

💪 daaaa!!! Kaka unahatari sana aseee..
Kwamufa mrefu nilitamani sana japo kukuon kwamaana nimevutiwa sana na kazi Yako ..kikubwa ninacho vuriwa kutoka kwako namna matukio ya sauti Yako unavyo ifanya ...ni hatari sana .
Saruti kubwa sana kaka kutoka kwngu.

AlfaLuambano-bpok
Автор

Serikal imsaidie hata kumfungulia ofisi.huyu kaka anajuwa nini anafanya❤️haishi tu maisha mengi

ياسمينسالم-كص
Автор

Ur the proud oph Lindi, watu wa Lindi nione likes zenu apa

mathewmlaponi
Автор

Kaka we mwamba sana Mungu akulinde sana kazi Yako nzuri

barakajohnh.b
Автор

Mwe we Juma mpka Leo Namkubali.ishi sana 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳

atuganilesangoka
Автор

Big up sana juma Khan chikongwe...mwamba huyu hapa

mnokufrancis
Автор

Ongeraaaa sanaaaa juma khanii Allah akuongozEee na aibariki kaziii ya mikono yakooo🤲

fatumamohammed
Автор

Wacheza movie wote India ilitakiwa waone mchango wa huyu jamaa, alifanya nchi yetu ndiyo namba moja kwa kuuza movie zao kuliko sehemu nyingine yoyote hongera sana broo, leo wanampeleka killpaul india wanamuacha Juma Khan hivi ni kweli??

joackimmwedimage
Автор

Waoooo kwamara ya kwanza namshuhudia mtafsiri wangu kwenye mouve zangu pendwa

enockmichael
Автор

Nimependa Sana kukufaham. Juma.khani au chikongwe maana ni muda mi tangu mdg nakusikia sauti yk kwenye move za kihindi mdg unatafsili.saluti kwako.

damamuhamza
Автор

Nenda Cossota ukasajiri neno lako Upate hatimiliki, unajua nchi yetu ni masikini alafu ina ujeuri. mtu au Kampuni kubwa inajua hilo neno limepata umaalufu kupitia kwako lkn analitumia bila kukufata muhusika.
Ukiwa na hatimiliki unaweza ukafata utaratibu na ukalipwa.

moudboss
Автор

😅😅😅🤣🤣Hatariiii kumbe mwamba ndio huyu Leo tumekujua, Mungu akujalie mafanikio nimependa umetulia sana sana.Kweli hapo makampuni mpeni kazi

happyhousekeeper
Автор

Aloo huyu jamaa ni wa nyumbani kumbe 🥺 mmwera anatafsiri movie za kihindi..! 😂 raha sana

vertucypangani
Автор

Dah juma unajua sana hongera mkubwa bongo hapa hkn kam wew juma

HERINANGOMWA-hlxq