Sababu za kuwashwa na sehemu nyeti!!! Uko na minyoo? Dalili nane za maambukizi ya minyoo tumboni.

preview_player
Показать описание
Heri ya mwaka mpya kwa followers wangu wote.
Swala la mambukizi ya minyoo imekuwa janga la wengi nimesimulia baadhi ya dalila unazo weza kuziona japo una minyoo.

Follow me kwenye mitandao yote ya kijamii @drsarucynthia.
#loveandlove
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ningependa kujua aina za minyoo na dalili zake

fidelisimtenga
Автор

Doctor naomba unisaidie me nilipata hiyo tatizo baada ya kujifungua na nmeenda hoc mara tatu na sija pata msaada nisaidie naumia sana

HassanSalesa-gr
Автор

Mm na washwa na saa zengine tumbo la nguruma na nkienda sipitali nikipewa dawa inaacha kisha inarud

MariamThuma-em
Автор

Dr Mimi sijapima lakin dalili ulizosema ndo ninazo make tumbo lilikuwa linauma alf linatulia Kwa mda Tena linaanza kukata then linatulia hiyo itakuwa ni nn

EmmanuelChacha-wd
Автор

Samahan mm nawashwa sana sehem ya haja kubwa haswa usiku najikuna had vidonda na plz naomba unisaidie

HAWAISARE
Автор

Ninashida upande wa kushoto tumbo inaanzia hapo kunguruma nakuelekea mgongoni mpaka sehemu ya haja kubwa je hiyo ni minyoo?

mamamdogo
Автор

Docta mwanangu anasumbuliwa Sana na hio minyoo na ameenda hosii mara kadhaa ila akikaa mda kidogo anarudiwa na hio shida anajikuna sehemu nyeti anasema kuna mdudu plz docta nisaidie

RahmaRahma-zi
Автор

Kuwashwa ikifika usiku
Kukosa hamu ya kula
Na kuwashwa sanaaa yan

NatashaHashimu
Автор

naxhukuru sana doct sara mimi na sumbuliwa na tumbo alafu sasa hivi na toa haja kubwa nyepesi ambayo imechanganyika na damu mwishoni alafu ikifika asubuhi ndotumbo l linaniuma sana na shindwa kuelewa ni vidonda vya tumbo au minyoo naomba ushauri wako dada yangu

melckizedeckimmari-erdy
Автор

Mie nawashwa na wadudu unajikia wakitembea nitmie dawa gan?

KudraRahe
Автор

Doctor naomba nisaidie jina la dawa nzuri ya minyoo.imekua ikinitoka marakwamara hata nikitumia dawa bado inatoka

julusmahinda
Автор

Mim minyoo natibu inajirudia mekunywa albendazo cjui kama inasababisha ad Kuumwa macho

NeemaPeter-yi
Автор

mwanangu anaminyoo namuona mmoja anachungulia sehemu ya haja ndogo kaingiangia kwenye kishimo cha haja ndogo nikitaka kumtoa analudi ndani nifanyaje doct

hasinahassani
Автор

Mimi napata muwasho kwenye makalio sielew shida ni nn wiki ya pili sasa

EmilvesterLikali-vh
Автор

Me nasubuliwa na minyoo na najijuna sana nitumie dawa gan

ElizabethMwanganya
Автор

Je muwaasho sehem za Siri &pemben ya mapaja

PeterShilolelo
Автор

Mm ninaminyoo sugu huu mwaka nimemeza mara 3

Shakila-ok
Автор

Tunaomba uelezee dalili za minyoo mana Kuna wengine wanasema ni mchafuko wa damu

dignamosha
Автор

Hi matiti yangu yauma but haina uvibe alafu makwamba ya washa

Lilian-vzuj
Автор

Mm sijiskii Kula alafu naenda haja. Kubwa kila nikikula

Gladysakinyi-ptbr