#MEDANIZASIASA: EXCLUSIVE INTERVIEW YA TUNDU LISSU NDANI YA STARTV/ANAFUNGUKA MENGI.

preview_player
Показать описание
Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
Star TV Brightens Your Day !
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Rais halali wa mioyo ya watanzania mhe Tundu Antipas Mugwahi Lissu ✌️✌️✌️🇹🇿🇹🇿🇹🇿💖💖💖🙏🙏🙏

godfreykahabi
Автор

❤😂 nafurahi mpka nalia uyu jamaa nimtu nusu

EmmanuelMassawe-cg
Автор

Lisu nakuombea mema na Mungu akulinde na akushike mkono katika kutimiza ndoto zako

goldenmaduhumedia
Автор

Naonaga Odemba yupo vizuri sana ila TAL is the best

in-africastay
Автор

Hongera sana lisu kwa kujibu maswali vzr safi

MkongweGabagendi
Автор

ukiwa unamuhoji Lisu unatakiwa ujipange sana

odoieriasmonga
Автор

😮 chief Odemba congratulations 🎊 👏 💐. Tundu Lissu the genius 👏

AlexKAudax
Автор

MOJA KATI YA MWANASIASA ALIYENICOMVISI KUISHABIKIA CHADEMA TUNDULISSU NAKUKUBALI SANA

gredatv
Автор

Ndugu mwanahabari jifunze kutulia na kusikiliza kwa makini acha kuuliza maswali ambayo unajua hata kisheria mtu hawezi kukujibu kwenye media...focus kijana

OG_
Автор

Mh. Lisu ana mchango mkubwa sana katika Taifa letu ccm wakubali wakatae. Mabadiliko haya tuliyo nayo yanachangiwa na upinzani asilimia kubwa. Mungu akulinde na akufikishe mahali pa juu zaidi.

VascoMlimakifi
Автор

Hapana odemba mjanaja sana akijifanya kua msikilizaji jamaa wataonekana wanakandamwizwa upande wa pili na kipindi watakifanya KAMA kipo upande wa upinzan so ni nzuri anavyo fanya kikubwa anaeleweka sana😅😅😅

onesmolwambano
Автор

Mimi huwa nasema mh. Lisu huwa anahoja nzito na zenye mashiko, huyu anafaa kuwa kiongozi wa hii nchi.

aloycemisigalo
Автор

Ndugu Odemba ujifunze kuwa msikilizaji mzuri kabla ya kuwa muulizaji maswali mzuri

حكايةغد
Автор

Lissu ni kichwa na urithi wa Taifa ❤❤❤

JacksonNgimba
Автор

Very technique question?and suparb answers good

valerianmtowe
Автор

huyu tundu lisu tumlinde sana watanzania, ni mtanzania mwenzetu pekee anaye elimisha mambo ya mazuri bila uoga, ameonyesha uthubuu, alinusurika kuuawa na magufuli amepona bado ameendlea kuamsha akili zilizo lala z watanzania wengi, tuamke nchi hii ni yetu sote, tuunge mkono mambo mazuri kama haya ya akina lisu na chadema kwa ujumla

masumbukomaganga
Автор

ODEMBA UWE UNAWAACHA WAGENI WAONGEE NA KUJIBU UNACHOWAULIZA USIWAWEKEE MANENO MDOMONI

yudathadey
Автор

Mtangazaji kajifunze kwa wale wa hard talk kutoka bbc. Usichukuwe upande, huku unauliza Maswali magumu. Mbona maswali yako rahisi kabisa. Unamtengezea Njia ya kujibu. #Tubadilike

Sammy-xusb
Автор

Nakubali jembe langu hapo hamna cha no comment

piusmedard
Автор

Nimekupa big up Sana kugusia mabaya ya Nyerere japo mwandishi alikua hataki,

MauBonde