WHAT KENYAN GEN Zs THINK ABOUT TANZANIA WILL SHOCK YOU 🇹🇿

preview_player
Показать описание
Tanzania is an East african country neighboring kenya, uganda, rwanda, and Burundi. Tanzania was formerly known as tanganyika. In this vlog, kenyans express their opinions about what they think about Tanzania 🇹🇿 Subscribe to @makaveli254official3

previous videos:

#makaveli254 #moreviews2024 #fyp #nairobi #mombasa #kitui #kisumu #melbourne #sydney #goseeafrica #africantigress #iammarwa #burundi #iammarwa #australia #brisbane #mozambique #nairobivlog #townsville#melbourne #theblackgeo #nepal #london #paris #johannesburg #daressalaam #amsterdam #cairo #kampala #lagos #accra #monrovialiberia #congo #india #gambia #guam #philippines #burundi #dubai #tanzania #daressalaam #Zanzibar #newyork #boston #seattle #genz #kiswahili #discoverkenya #exploreafrica #traveladdict #adventure #culture #exploreafrica #marketing #branding #talkshow #interview #breakingnews #travel #information #watchhours #likeandsubscribe #viralvideo #growyourchannel #youtube #support #visitafrica
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Good! Kenyans are very positive to Tanzania.

JumaNjiku-dffd
Автор

keep going makaveli, from tanzania here 🇹🇿👊🏿👊🏿

filamupictures
Автор

kiswahili tulitumia kuua ukabila. lakini ukweli ni kwamba kenya mnatukubali sana na mnatujua that is so good

fatumajohn
Автор

I love you Kenyans. As a Tanzanian who lived in Kenya and among Kenyans. We are one.

tj
Автор

Tutabaki kuwa majirani wema love❤ from TZ

bajagihaji
Автор

Kuna tofauti ya mswahili na kiswahili kwa hio tanzania wanatumia kiswahili lakini sio waswahili

coolbz
Автор

Hao wanauza tishirts za kirasta ni wapi? Nikija Nairobi nikasupport

mbwizax
Автор

Sisi ni majirani pamoja na tofauti zetu lakini tutabaki kuwa majirani wema ❤️ from TZ

bajagihaji
Автор

evn spain, france, urusi, swtzlnd, china hawajui kingereza. hiyo kitu ni ujinga kusema lugha

HappyatHome-bnwm
Автор

The hood is a good definition of what happens in vegas stays in vegas

GoSeeAfrica
Автор

Kweli nyinyi wapumbavu harmonize rayvany wametoka wasafi

RonnieBertin
Автор

Kenya Bado sana kwa bongo mpira wa miguu tupo juu Sanaa myuzic tupo juu Sanaa

ZawadyKaoneka
Автор

Gen zs seem to be friendlier than i was anticipating😂. Sijui wanashindwana nini na Ruto

NPY
Автор

Wakenya mko kama wehu kizungu ndio nini, mbona msikitumie Germany na gulf, ?nyinyi wenyewe hamjui English, achaneni na sisi

irenewile
Автор

WaTz siyo kwamba hatujui english. Tunapenda lugha yetu

FarisPastory
Автор

MNATUCHANGANYA SANA WAKENYA, SISI WATANZANIA MNATUGONGA KWA KINGEREZA, RIADHA NA SHILLING . LKN ISSUE ZINGINE NINYI TUNAWAGONGA, MFANO SOKA TUPO JUU SANA, KILIMO PIA, WAREMBO, BURUDANI ZOTE . Rushwa na Uongo hiyo DRAW MZEE .

loner_wolf
Автор

" Mie ni mkenya. Wa T/Z Wananidhamu kutushinda! Ndio inchi pekee east africa imedumisha lugha ya kiswahili, kuitambua kama lugha ya kwanza ya taifa. Sii wakenya na maringo yetu ati tumesoma, hatuezi zungumza kiswahili sahihi bila kueka neno la kizungu/ kama wewe presenter wa hii vid! Very shame full kuchanganya kzungu na kiswahili and of late mmeleta lugha ya machokora/ sheng! Its like introducing a third gender! Nao ubaya wa wa T/Z ni ushirikina/ Uchawi wa hali ya juu na hata ukipata mmama wa huko, lazima ufikirie X2 kwani anaweza kua ni jinni/ nyoka au maiti!! Kwa kilimo pia hapo tumekubali na mnatumia mbinu za kwawida vijijini!

kuschprince
Автор

Maoni yenu ni mazuri karibuni mje mtalii Tz.

omarybakunda
Автор

Kenya don’t forget Tanzanians youth aren’t aware of politics like Kenyans. Most ya vijana wa Tanzania ni machawa

roberttarimo
Автор

Sasa hebu enda Tz waulize wanatuchukulia aje kama wakenya? Bro most of them wanaongea neagtivity na chuki tu.

jeffchurum