filmov
tv
Alice Kimanzi - Yule Yule |Official CRM Video|

Показать описание
We had fun with Yule Yule' during the album launch and it remains to be one of my favourite songs from the album. God is the same yesterday, today and forever (Heb 13:8) and His faithfulness endures from generation to generation (Psalm 119:90)
Enjoy!
LYRICS:
VERSE 1:
Nimesikia ukitajwa mitaani
Na kanisani waziimba sifa zako
Yasemekana wewe ni muweza yote
Hakuna jambo lolote likushindalo
Na shida zote (Unatatua)
Magonjwa yote (Wewe waponya)
Hata na wafu (We wafufua)
Nashangaa (A-a-a-ah)
CHORUS:
Yule-lelele Yule Yule
Yule Niwe eh
Yule-lelele Yule Yule
Yule! [Repeat]
(Mungu wa Musa Yule) …Yule!
(Na wa Yakobo Yule) …Yule!
(Anaye ponya Yule) … Yule
(Anaye penda Yule) Lelele-Yule! [Repeat]
VERSE 2:
Danieli asema ulifunga midomo ya simba
Wana Israeli kala mkate ‘toka mbinguni
Sarah naye Sarah (Kampakata Isaka)
Hakuna Jambo lolote likushindalo
Na shida zote (Unatatua)
Magonjwa yote (Wewe waponya)
Hata na wafu (We wafufua aaah)
Nashangaa (A-a-a-ah)
Enjoy!
LYRICS:
VERSE 1:
Nimesikia ukitajwa mitaani
Na kanisani waziimba sifa zako
Yasemekana wewe ni muweza yote
Hakuna jambo lolote likushindalo
Na shida zote (Unatatua)
Magonjwa yote (Wewe waponya)
Hata na wafu (We wafufua)
Nashangaa (A-a-a-ah)
CHORUS:
Yule-lelele Yule Yule
Yule Niwe eh
Yule-lelele Yule Yule
Yule! [Repeat]
(Mungu wa Musa Yule) …Yule!
(Na wa Yakobo Yule) …Yule!
(Anaye ponya Yule) … Yule
(Anaye penda Yule) Lelele-Yule! [Repeat]
VERSE 2:
Danieli asema ulifunga midomo ya simba
Wana Israeli kala mkate ‘toka mbinguni
Sarah naye Sarah (Kampakata Isaka)
Hakuna Jambo lolote likushindalo
Na shida zote (Unatatua)
Magonjwa yote (Wewe waponya)
Hata na wafu (We wafufua aaah)
Nashangaa (A-a-a-ah)
Комментарии