TAZAMA USHUHUDA WA MA DC JOKATE, GONDWE, NYANGASA BAADA YA KUPATA CHANJO COVID-19

preview_player
Показать описание
Leo July 28, 2021 Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi mpango wa Chanjo ya UVIKO 19 sambamba na yeye mwenyewe kuchanjwa.

Sasa wapo Viongozi mbalimbali walioipata chanjo hiyo wakiwemo Wakuu wa Wilaya zote jijini Dar es Salaam.
Akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Fatma Nyangassa, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Bw. Kheri Denice James
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ebu angalien walivyo changanyikiwa wanaongea kama redio ilio tafuna kanda mnachoma boshen hatuchim jaman anaeungana na mm like zangu hapo chin

abdickson
Автор

Nan kaona rais anachomwa sindano ambayo hawajavuta hata dawaaaa gonga like za tunatapeliwa mawazo

theholysingers
Автор

Utopolo huo😁😁😁 hatuchanji tz tuna jielewa😆😆

barnabaskazugi
Автор

Hongereni Viongozi Kuwa mfano kwenye hili

IkFied
Автор

Msimamo wetu ni uleule hatuchanjwi wasenge nyie peleken kwenye Koo zenu mungu anawaona kudadaek zenu

nyamhangamarela
Автор

Milard Acheni kupost post maswala hayo, , , jitahidi uwe unapost clip za gwajima

optatusduqangw
Автор

Yan gondwe kachanganyikiwa muda mfupi baada ya kuchanjwa, na saut imeshakauka

luzigachunchu
Автор

Sie tunasubiri mbadilike muwe Ng'ombe wale wote mliochanjwa tuwapeleke Buchani😄😄😄😄

liveleo
Автор

Tunafuata usia wa baba magu hatubali mambo yakuletewa letewa chanjeni wenyenu

rjrajab
Автор

VILIKUJA VIPIMO HAPA FEKI HAPA WATAALAMU HAWAKUGUNDUA KAMA VIPIMO FEKI NA PAPAYA NA FENESI YOTE KORONA CJAMSINGI TUSILAZIMISHANE TU KUCHANJA TUPIGE NYUNGU VYAKULA VYA VITAMIN C KWAWINGI

neemabatraham
Автор

Acheni usenge wa tz sio vizibo msituchukulie poa

MohammedAli-rhsi
Автор

Mb zashida jamani hebu sasa mtupumzishe nahizi habari za chanjo tumechoka

mwantumubakari
Автор

Visimi vyenu chanjeni wenyewe, mmepangwa ili mtumalize co??wasenge nyie

lindambilinyi
Автор

Nyie niwa pumbavutu
Mna fanya vtu ambavyo hamujui mazala yake
Kwabadae

khabirmosh
Автор

Hii chanjo sio ya corona wanachanjwa ya surua sasa jichanganyeni uchanjwe ya covid

moreenmona
Автор

Shenzi zako wewe godwe chanja na ndungu zako

geofreysenka
Автор

Acha ujinga. na chanel yako hiyo post mambo ya madini na rasilimali ya nchi wachanje baba zako na mama yako

geofreysenka
Автор

Gwajima ni mnafiki anatafuta umaarufu, chanjo sio lazima anachoma mwenye mahitaji hata yeye atachoma na unafiki wake na siku akichoma achome kwa misifa, kama hato jificha, anafanya achochezi na kuwatisha watu ingekuwa ni sheikh angeozea jela

aminamkumba
Автор

Kifo kinaletwa namngu uyo waku zuiya kifo Nan
Watanzania uwelewa wao mdogo

khabirmosh