DC MTANDA AZIFUNGA OFISI ZA VIONGOZI NA KUWAHAMISHIA MAJENGO YA HOSPITALI 'NAWAPA SIKU 7 TU'

preview_player
Показать описание
Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa Saidi Mtanda amewahamisha Wataalamu na Wakuu wa Idara kutoka Ofisi za Halmashauri ambazo amezifunga kwa muda na kuwahamishia kwenye eneo la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya hiyo ili kuwafanya wasimamie ujenzi kwa ukaribu na baada ya siku saba wawe wamemkabidhi majengo yakiwa tayari.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

"Bongo flash" support video hii kwa kubadilisha Bongo muvi

simbofrank
visit shbcf.ru